Hivi hyperinflation, kama iliyotokea Zimbabwe au Venezuela inaweza kutukuta?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Ile habari ya kubeba pesa kwenye toroli kwenda kununua mikate inaweza kutupata. Maana wanasema inasababishwa na watu kupoteza imani na pesa. Nini linasababisha hilo? Ishu kama ile inaweza kutokea hapa kwetu?
 
Swali zuri sana hili Kwa wachumi ...lkn sio wale uchwara!! No
 
Tuko njema na MABEBERU, hao wana vikwazo (sankshenz).
Si rahisi kutukuta kitu kama hicho
Nchi inapofikia Rais anaelekeza kuwa print much money...

Lkn kama Rais Hana kichaa mbona tutapeta tuu...

Ingekuwa urusi ni kama sie tungekoma.... Pana kitu kinaitwa autarky, wenzetu wanaweza.. japo wanasaidiwa na trade diversion na creation.

Na kwamba nchi za Asia zinaweza zikaipiku US$
 
Bado hatujafika huko mkuu, hii inflation tuliyonayo nadhani kwa sasa iko sehemu nyingi naona hata jirani zetu Kenya wanayo
 
Sisi bado sana, yaani mawimbi yapo mbali ni tunaelea elea tu katikati ya maji.
 
lita 3 ni buku ten,na bdo tunapoenda ndio pagumu.
 
Back
Top Bottom