Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Swali zuri sana hili Kwa wachumi ...lkn sio wale uchwara!! NoIle habari ya kubeba pesa kwenye toroli kwenda kununua mikate inaweza kutupata. Maana wanasema inasababishwa na watu kupoteza imani na pesa. Nini linasababisha hilo? Ishu kama ile inaweza kutokea hapa kwetu?
Nchi inapofikia Rais anaelekeza kuwa print much money...Tuko njema na MABEBERU, hao wana vikwazo (sankshenz).
Si rahisi kutukuta kitu kama hicho
Sri-Lanka sidhani kama wana shida na mabeberu lakini wamehit hyperinflation.Tuko njema na MABEBERU, hao wana vikwazo (sankshenz).
Si rahisi kutukuta kitu kama hicho
Bado hatujafika huko mkuu, hii inflation tuliyonayo nadhani kwa sasa iko sehemu nyingi naona hata jirani zetu Kenya wanayoNchi inapofikia Rais anaelekeza kuwa print much money...
Lkn kama Rais Hana kichaa mbona tutapeta tuu...
Ingekuwa urusi ni kama sie tungekoma.... Pana kitu kinaitwa autarky, wenzetu wanaweza.. japo wanasaidiwa na trade diversion na creation.
Na kwamba nchi za Asia zinaweza zikaipiku US$
Sidhani kama walihit hyper mkuu kama ya ZimbabweSri-Lanka sidhani kama wana shida na mabeberu lakini wamehit hyperinflation.
Hakuna kitu kama hicho.Mbona Elfu kumi ya Sasa ina tabia zote za buku au hujaona
Nenda dukani kwa mangi nunua dawa ya mswaki 4500, tambi 2000,hapo hujaweka nyama kilograms moja,[emoji24][emoji24]chenji panda daladala kwenda kwenu ndo utajua elfu kumi ni sawa na buku tuuHakuna kitu kama hicho.
Ambao wamevunja rekodi ya inflation ni Sudan 245%, Zimbabwe 86%Sidhani kama walihit hyper mkuu kama ya Zimbabwe