The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Naomba kuuliza waumini wa baadhi ya makanisa kama sio yote, hua naona kwenye matangazo au mbao za matangazo zimewekwa ratiba za ibada ya kiswahili na ibada ya Kingereza, hii ibada ya kingereza hua ni ya nini au ina umuhimu gani?
Nimeuliza hivyo kwa sababu zaidi ya 98% ya watanzania wanaongea kiswahili na au wanasikia kiswahili vizuri lakini pia sehemu kubwa waanasikia na kuongea lugha za mama zao kwa uzuri kabisa. Ni sehemu ndogo sana ya Watanzania wanatumia kingereza kama njia kuu ya mawasiliano, ndogo sana na sehemu nyingine ni hii ya washamba walimbukeni wa kiswanglish.
Hoja yangj ni kua, ibada ya kingereza ya nini huku zaidi ya 99% ya waumini wanazungumza na wanaelewa zaidi kiswahili.
Je wanaofundishwa ibada ya kingereza kuna vitu wanavielewa zaidi ya wanaofundishwa kiswahili, au ni nini hasa cha kipekee kwenye lugha ya kingereza kuhusu kumuabudu Mungu? (Sijauliza kwa nini ibada za kiislam zinaendeshwa kiarabu kwa wandengereko au wasukuma, au mungu hasikii lugha ya kisukuma anaelewa kiarabu tu?)
Naomba ieleweke kua sina nia ya kukashifu dini ya mtu.