Hivi ikitokea mtoto si wako sheria zinasemaje

Watu mnatoa ushauri ambao wala hamjaombwa yeye anachohitaji ni kujua kama ataweza kupata fidia kwa kulea mtoto ambaye si wake kama itabainika
 
Acha hizo wewe kitanda hakizai haramu ukizingatia miaka 14 umemlea bado 14 ajitegemee hauna cha kupoteza lakini pia wewe na binti yako hamtakuwa na furaha kama ndoa itavunjika

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
1. Ukilea mtoto akiwa mkubwa,
Na Baba mzazi akajitikeza kafanana naye hivyo hivyo.
Achukue uhamuzi gani???
2. Na ikitokea mtoto mwenyewe baada ya kumjua Baba yake hapo tuchukulie anamiaka 23 kamaliza chuo akaamua kuondoka kwako mazima vipi achukue uamuzi gani??
 
Mkuu zipo kesho nyingi tuu ,
Wababa wengi wanajitokeza watoto wakiwa wakubwa endapo Baba akijitokeza jeep nini afanye.
Na ishu ya kulea sio hoja unawez ukalea baada ya mtoto kumjua Baba yake akaondoka kabisa na ukute hata kumsaidia anamsaidia Baba yake hata kuliko wewe .
Ikitokea hio afanye nn?
 
Mkuu vipi umefikia wapi
Pole sana.
 
 
Mkuu soma hio kesi.
Kama mtoto si wako mwenyewe anaweza kuja kumchukua mtoto.
 
Hiyo fidia unayoitaka kutoka mkeo ni pesa au nini?..Lakina tayari huyo mtoto ana ndugu yake hapo(huyo wa kike).
Peleka lalamiko mahakamani then utapewa mwanasheria baada ya hapo utapewa kibari cha kupima wewe na mwanao.
 
Kumlea mpaka miaka 14 sio mchezo, hata kama ikibainika sio mwanao, wewe mchukue tu kama mwanao. Ila umeshajifunza kuwa mkeo sio mwaminifu.
 
Unadai fidia kwa mkeo au mwanamke aliyekumbia mtoto ni wako
 
Majibu ya DNA yakionyesha Mtoto si wako,wwe tafuta Wakili mjaze mpunga na ataenda Mahakamani na atakata rufaa na Mahakama itatamka kua huyo Mtoto ni wako! Kwa hiyo unakua bado hujapoteza!!
 

Kisheri kuna dhana inayosema “kitanda hakizai haramu”
As long as unaishi au unamahusiano na mwanamke na ndani ya ndoa/mahusiano hayo akapatikana mtoto basi itatambulika mtoto ni wako kisheria

Iwapo itatokea issue yoyote itakayopelekea Me kuwa na wasiwasi kuwa ndani ya ndoa/mahusiano Ke alichepuka na kupata mimba kwingine basi kuna taratibu za kisheria zinabidi kufuatwa mahakamani ili kupata kibali kwenda kwa mkemia mkuu wa serikali kupima DNA

Kwa mujibu wa maelezo yako inaonyesha uliikubali mimba na ukamkubali mtoto kama mwanao hadi alipoanza kukua ndio ukaanza kuhisi sio wako(mpaka sasa mtoto ni wako kisheria)

Kama hujaridhika Nenda kaanze mchakato ustawi wa jamii kisha utakwenda mahakamani ambako utapata kibali halali cha kupima DNA wewe na mtoto
Zingatia kwamba upimaji wowote wa DNA ambao hautafuata mlolongo huu basi vipimo hivyo havitatambulika kisheria

Pia unapaswa kujua kwamba serikali ina discourage sana aina hii ya upimaji wa DNA kumlinda mtoto zaidi
So tegemea mlolongo mrefu na mgumu sana kuanzia ustawi wa jamii, mahakamani na kwa mkemia mkuu
Inadaiwa 99.9% ya majibu ya mkemia mkuu kwa issue kama hizi hapa Tz majibu huwa ni mtoto ni wa baba aliyekua na hofu

Mengineyo
Mkuu maisha yalivyo ni kwamba mwanao ni yule aliyezaliwa ndani ya ndoa/mahusiano na ikatengenezwa bond ya mtoto na mzazi
Ukisema tuanze kupimana DNA hii dunia haitakalika mkuu

Binafsi nina watoto wawili nimezaa na wake za watu, tunao jua habari hiyo ni mimi na mama zao tu
Sina muda nao kabisa kwasababu hawanijua wala hawa idea kwamba baba wanao mjua wao sio baba wa kibaiolojia
Wana furaha na “baba” zao na baba hawana wasi wasi

Sina kabisa ujasiri wa kwenda kupima wanangu DNA......... siwezi kufanya huo ujinga abadan
Bond tulionayo mimi na wanangu siwezi kuruhusu mjinga yeyote aikatishe hata kama watoto sio kojo langu
We have a very special bond


LEA “MWANAO” MKUU
 
Haya Holly star Mayu huyo hapo, Mwanasheria anaeweza Jenga hoja hadi majibu ya Mkemia yakaonekana hayana maana kutokana na blablaa zake eti tupuuzee uchunguzi wa ki sayansi tusikilize hoja zake!!
 
Haya Holly star Mayu huyo hapo, Mwanasheria anaeweza Jenga hoja hadi majibu ya Mkemia yakaonekana hayana maana kutokana na blablaa zake eti tupuuzee uchunguzi wa ki sayansi tusikilize hoja zake!!
Kama Mtoto umepigwa,hiyo haina ubishi,Chukua majibu ya Mkemia Kama wwe mwenyewe ulisimamia sampuri zote zilizokwenda kwa Mkemia! Usichukuwe majibu ya watu wanao sema kitanda hakizai haramu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…