Hivi ikitokea watu wakaoana kutoka humu si itakuwa balaa!

Hivi ikitokea watu wakaoana kutoka humu si itakuwa balaa!

Musimo jr. kweli wewe wa juzi........ kuna ndoa zimeshafungwa, uchumba na hata mapenzi motomoto

tumepata kazi, dili za biashara na marafiki wa maana sana kwa maisha yetu na familia zetu, na ni humuhumu ndani kuna watu wameshapata hata watoto au hata kupata miaada mikubwa tu

usione kuna hoja nyepesi ukadhani kila kitu ni kwenye keyboards.... la hasha, mfano ni mimi binafsi, nimeweza kuonana na wanajf zaidi ya mia nikiwa bongo na hata nje ya bongo

If you want JF to be serious it will be and if you want it to be destructive it can as well be...... THE CHOICE IS YOUR

FYI...JF ni zaidi ya keyboard
............... msome preta tena
 
Haleluya! Popote utakapo mama hata ukisema tukafungie Mayamaya poa tu Husninyo
 
Si balaa wala nini mbona watu wengi tu wanakua na the same category and work status then everything goes poa,
mambo ni kuelewana na kuheshimiana tu mnapokua kifamilia
 
Ndio huko huko Dom kijiji fulani mbele kabisa ya kuvuka msalato na visima vya maji kule mchuchu.
We Peck wivu tu huo
 
we nawe....nikupe taarifa usiyoijua.....nategemea kufunga ndoa hivi karibuni na mwanaJF mwezangu na kikao cha harusi ni leo wanakamati wakiwa ni JF members.....JF IS BEYOND KEYBOARDS bana
Amen!Tell them that!
 
we nawe....nikupe taarifa usiyoijua.....nategemea kufunga ndoa hivi karibuni na mwanaJF mwezangu na kikao cha harusi ni leo wanakamati wakiwa ni JF members.....JF IS BEYOND KEYBOARDS bana

Sema Sema Mama kwani FB kuwezekane kuna nini na JF ishindwe kuna nini, hapo kwenye red umemaliza.
 
Lily na Memo, are you tryna tel us something here? Hebu fungukeni tusikie
 
Haya mchuchu, nime zip kadomö kangu
 
Rejea mada kuu hapo juu.

Mtoa mada

Swali: Hivi inawezekana pia kumpata wa kumnjunja hata kwa mara moja humu JF?

Nawasilisha.
 
BOQ, we unamtafuta wa hivyo? Wel kama jibu ni ndio then wish you all the best
 
Back
Top Bottom