Hivi ile amri ya kutopiga mziki karibu na makazi ya watu limefutwa?

Hivi ile amri ya kutopiga mziki karibu na makazi ya watu limefutwa?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Habarin Wadau

Kama kichwa cha Habari kilivyo hapo juu. Kumbu kumbu yangu inanikumbusha awali iliwahi kutolewa katazo la kupiga miziki karibu na makazi ya watu sikumbuki exactly ni mwaka gan lkn ni ndani ya awamu ya sasa ila ajabu kwa sasa naona mambo vice versa ni miziki inavurumishwa kuanzia asubuhi mpaka jion tena ktk maenwo wanayo ishi watu hii ni kero hasa katika jiji la Dar

Mamlaka liangalieni hili swala upyaa
 
Mkuu unaonekana ni mgeni nchi hii kwani ile amri na mikwara ya kila mtumishi wa umma kuvaa tag yenye jina lake iliishia wapi
 
Mkuu Dsm ni kubwa kijiografia hebu dadavua kwa mifano ya hayo maeneo ili usionekane unatoa taarifa za uzushi.
 
Ile ya mitetemo, ipo na sasa inatumika kuzuia matangazo ya mikutano ya Chadema.
 
Muwe mnaangalia sehemu za kuishi, kuna mitaa ustaarabu hakuna kabisa..
 
Back
Top Bottom