Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iliundwa, ikapewa hadidu za rejea, imapitia salary scale za taasisi baadhi za umma, ikaona harmonization ni jambo ambalo haliwezekani.
Kwa sababu kuna baadhi ya taasisi mishahara mikubwa sana ila nyingine scale ni ya TGSD ya laki 7.1 huku wengine wakiwa na mishahara ya 3M kwenye job grade moja.
Sasa kuweka harmonization inabidi uwapandishe hawa wa laki 7 wote zaidi ya 300k kwenda 3M, hapo utapandisha payroll cost ya serikali kwa zaidi ya 40%, sasa ni 600B, itapanda hadi 900B kwa mwezi,
Hapo kinachofuata ni kua makusanyo yote ya serikali itabidi yatumike kulipa mishahara tena makusanyo yakiwa kidogo itabidi tukope kulipa mishahara, hakuna barabara wala hospitali mpya.
Ndio maana serikali hadi sasa haitaki kupandisha watu mishahara kwa kuogopa kuvunja ceiling ya payroll cost yake.
Sasa hivi ni taasisi chache ambazo zinampemdeza mkuu anawapa kibari cha kupandisha mishahara wengine
Daah kweli nimeaminni hii nchi ni masikini, yaani hatuwezi kulipa bilioni 900 kwa mwezi??Iliundwa, ikapewa hadidu za rejea, imapitia salary scale za taasisi baadhi za umma, ikaona harmonization ni jambo ambalo haliwezekani.
Kwa sababu kuna baadhi ya taasisi mishahara mikubwa sana ila nyingine scale ni ya TGSD ya laki 7.1 huku wengine wakiwa na mishahara ya 3M kwenye job grade moja.
Sasa kuweka harmonization inabidi uwapandishe hawa wa laki 7 wote zaidi ya 300k kwenda 3M, hapo utapandisha payroll cost ya serikali kwa zaidi ya 40%, sasa ni 600B, itapanda hadi 900B kwa mwezi,
Hapo kinachofuata ni kua makusanyo yote ya serikali itabidi yatumike kulipa mishahara tena makusanyo yakiwa kidogo itabidi tukope kulipa mishahara, hakuna barabara wala hospitali mpya.
Ndio maana serikali hadi sasa haitaki kupandisha watu mishahara kwa kuogopa kuvunja ceiling ya payroll cost yake.
Sasa hivi ni taasisi chache ambazo zinampemdeza mkuu anawapa kibari cha kupandisha mishahara wengine wanabakia kufa njaa.