Hivi ile bodi ya mishahara iliishia wapi?

Ukiuliza utaambiwa hizo taasisi zinaingiza hela au zinajiendesha
 
Zilikuwa Ni mbwembwe.
Nyongeza za mishahara subirieni awamu nyingine.
 
Mpaka tushulikie TIN za watumishi wote.
Tukimaliza tu mtukumbushe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Imbombo ngafu.
 
Daah kweli nimeaminni hii nchi ni masikini, yaani hatuwezi kulipa bilioni 900 kwa mwezi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ