Hivi ile brand ya FILA iliishia wapi?

Hivi ile brand ya FILA iliishia wapi?

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
1,025
Reaction score
1,238
Brand ya FILA siioni kabisa wakati enzi hizo naanza shule; begi, kiatu, soksi hadi chupi vilikuwa vimeandikwa FILA.
 
Kumbe ulikuwa wa ushuani eehh, sikuhizi kuna Mackenzie, Lacoste na wengine kama Adidas na Reebok lakini NIKE bado ni baba lao
 
Nafikiri tumuulize Lila,maana walimu walitufundisha kuwa Lila na Fila huwa hawatengani,tumtafute Lila tmuuulize nduguyo Fila yupo wapi??
 
OMG!!! Kuna mtu ana hamu ya kufariki naona...

Nimfanyeje mtu huyu??
umerespond amazing sana; kama pilato, kama mume, kama baba responsible wa security ya home, pia kama mzaha Duuuh
 
Khee wakati huo unanipa offfer ya mihogo ya kukaanga na Fanta eti ndiyo date😀
Angekupa fanta si ungejisifu, ile ilikua ni jwisi tu. Tena haikua jwisi ya matunda bali wanachukua maji yanachanganywa na sukari na ungaunga fulani wa wa rangi ya orange halafu wana miminia daqa fulani kwa ajili ya kweka radhi ya chungwa kwenye hiyo jwisi
 
Kumbe ulikuwa wa ushuani eehh, sikuhizi kuna Mackenzie, Lacoste na wengine kama Adidas na Reebok lakini NIKE bado ni baba lao
Hivi kwa sasa mambo yalivyo haiwezi kuleta tafasiri tofauti? Maana unakuta mdada taiti yake imeandikwa kabisa pale matakoni FILA!
 
Brand ya FILA siioni kabisa wakati enzi hizo naanza shule; begi, kiatu, soksi hadi chupi vilikuwa vimeandikwa FILA.
Tuliwahi bishana sana jina halisi ya hiyo brand jinsi alphabet ya mwisho 'ilivyoarenjiwa'.
Ile siyo 'A' ni 'D'. Kama kweli hiyo herufi ni 'A', basi muasisi wa hiyo kampuni alidizaini hiyo herufi ya mwisho kimachale sana ili kuchanga watu ama kukwepa mkono wa chuma wa kisheria, kwa kuwa neno hilo ni tusi totaly.
 
Puma, Fila, Nike, Adidas, katika majeans ya kitambo akina Phat Pharm, Fubu, Dada na Sean john enzi hizo
 
Hivi kwa sasa mambo yalivyo haiwezi kuleta tafasiri tofauti? Maana unakuta mdada taiti yake imeandikwa kabisa pale matakoni FILA!
Haitaleta shida kiongozi. Kuna tofauti kubwa sana kwa hizi herufi "R" na "L"
 
Back
Top Bottom