Hivi ile brand ya FILA iliishia wapi?

Hivi ile brand ya FILA iliishia wapi?

Tuliwahi bishana sana jina halisi ya hiyo brand jinsi alphabet ya mwisho 'ilivyoarenjiwa'.
Ile siyo 'A' ni 'D'. Kama kweli hiyo herufi ni 'A', basi muasisi wa hiyo kampuni alidizaini hiyo herufi ya mwisho kimachale sana ili kuchanga watu ama kukwepa mkono wa chuma wa kisheria, kwa kuwa neno hilo ni tusi totaly.
Haina shida yoyote mkuu. FILA sio neno la matusi... Labda hapo kwenye 'L' pawekwe 'R' ndo ingeleta sokomoko kitaani
 
Tuliwahi bishana sana jina halisi ya hiyo brand jinsi alphabet ya mwisho 'ilivyoarenjiwa'.
Ile siyo 'A' ni 'D'. Kama kweli hiyo herufi ni 'A', basi muasisi wa hiyo kampuni alidizaini hiyo herufi ya mwisho kimachale sana ili kuchanga watu ama kukwepa mkono wa chuma wa kisheria, kwa kuwa neno hilo ni tusi totaly.
ngoja niicheki ndo nikujibu....professionally kama ulivyonijibu
 
Tuliwahi bishana sana jina halisi ya hiyo brand jinsi alphabet ya mwisho 'ilivyoarenjiwa'.
Ile siyo 'A' ni 'D'. Kama kweli hiyo herufi ni 'A', basi muasisi wa hiyo kampuni alidizaini hiyo herufi ya mwisho kimachale sana ili kuchanga watu ama kukwepa mkono wa chuma wa kisheria, kwa kuwa neno hilo ni tusi totaly.
 
Attachments

  • Fila_logo.svg.png
    Fila_logo.svg.png
    5.5 KB · Views: 26
mkuu hiyo ni L plus A...meaning D unayoisema...actually ni A. hapo ni ishu ya deesign tu for the sake of creativity
 
Angekupa fanta si ungejisifu, ile ilikua ni jwisi tu. Tena haikua jwisi ya matunda bali wanachukua maji yanachanganywa na sukari na ungaunga fulani wa wa rangi ya orange halafu wana miminia daqa fulani kwa ajili ya kweka radhi ya chungwa kwenye hiyo jwisi
Jolly juice zile yako maji tu
 
Back
Top Bottom