Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
Hivi unakumbuka zile raba zangu za DH?Kumbe ulikuwa wa ushuani eehh, sikuhizi kuna Mackenzie, Lacoste na wengine kama Adidas na Reebok lakini NIKE bado ni baba lao
Khee wakati huo unanipa offfer ya mihogo ya kukaanga na Fanta eti ndiyo dateπHivi unakumbuka zile raba zangu za DH?
Nikifanikiwa kuiba vijisenti vya mzee nakutwanga na chipsi yai... hapo unanikumbuka mwezi mzima!Kheri wakati huo unanipa offfer ya mihogo ya kukaanga na Fanta eti ndiyo dateπ
umerespond amazing sana; kama pilato, kama mume, kama baba responsible wa security ya home, pia kama mzaha DuuuhOMG!!! Kuna mtu ana hamu ya kufariki naona...
Nimfanyeje mtu huyu??
chezea mie (in Sky Eclat voice)Kumbe ulikuwa wa ushuani eehh, sikuhizi kuna Mackenzie, Lacoste na wengine kama Adidas na Reebok lakini NIKE bado ni baba lao
Angekupa fanta si ungejisifu, ile ilikua ni jwisi tu. Tena haikua jwisi ya matunda bali wanachukua maji yanachanganywa na sukari na ungaunga fulani wa wa rangi ya orange halafu wana miminia daqa fulani kwa ajili ya kweka radhi ya chungwa kwenye hiyo jwisiKhee wakati huo unanipa offfer ya mihogo ya kukaanga na Fanta eti ndiyo dateπ
Hivi kwa sasa mambo yalivyo haiwezi kuleta tafasiri tofauti? Maana unakuta mdada taiti yake imeandikwa kabisa pale matakoni FILA!Kumbe ulikuwa wa ushuani eehh, sikuhizi kuna Mackenzie, Lacoste na wengine kama Adidas na Reebok lakini NIKE bado ni baba lao
MmhhhHivi kwa sasa mambo yalivyo haiwezi kuleta tafasiri tofauti? Maana unakuta mdada taiti yake imeandikwa kabisa pale matakoni FILA!
Tuliwahi bishana sana jina halisi ya hiyo brand jinsi alphabet ya mwisho 'ilivyoarenjiwa'.Brand ya FILA siioni kabisa wakati enzi hizo naanza shule; begi, kiatu, soksi hadi chupi vilikuwa vimeandikwa FILA.
Haitaleta shida kiongozi. Kuna tofauti kubwa sana kwa hizi herufi "R" na "L"Hivi kwa sasa mambo yalivyo haiwezi kuleta tafasiri tofauti? Maana unakuta mdada taiti yake imeandikwa kabisa pale matakoni FILA!