Haina shida yoyote mkuu. FILA sio neno la matusi... Labda hapo kwenye 'L' pawekwe 'R' ndo ingeleta sokomoko kitaaniTuliwahi bishana sana jina halisi ya hiyo brand jinsi alphabet ya mwisho 'ilivyoarenjiwa'.
Ile siyo 'A' ni 'D'. Kama kweli hiyo herufi ni 'A', basi muasisi wa hiyo kampuni alidizaini hiyo herufi ya mwisho kimachale sana ili kuchanga watu ama kukwepa mkono wa chuma wa kisheria, kwa kuwa neno hilo ni tusi totaly.
Mmetoka huko na mihemuko huku pombe kichwani, unaweza usitambue hizo herufi ukadhani umekaribishwa uani.Haitaleta shida kiongozi. Kuna tofauti kubwa sana kwa hizi herufi "R" na "L"
umeona eeeh...mie mwenyewe nimemchora tu...Mmhhh
ngoja niicheki ndo nikujibu....professionally kama ulivyonijibuTuliwahi bishana sana jina halisi ya hiyo brand jinsi alphabet ya mwisho 'ilivyoarenjiwa'.
Ile siyo 'A' ni 'D'. Kama kweli hiyo herufi ni 'A', basi muasisi wa hiyo kampuni alidizaini hiyo herufi ya mwisho kimachale sana ili kuchanga watu ama kukwepa mkono wa chuma wa kisheria, kwa kuwa neno hilo ni tusi totaly.
Tuliwahi bishana sana jina halisi ya hiyo brand jinsi alphabet ya mwisho 'ilivyoarenjiwa'.
Ile siyo 'A' ni 'D'. Kama kweli hiyo herufi ni 'A', basi muasisi wa hiyo kampuni alidizaini hiyo herufi ya mwisho kimachale sana ili kuchanga watu ama kukwepa mkono wa chuma wa kisheria, kwa kuwa neno hilo ni tusi totaly.
Wabongo tukaleta FLAGHaina shida yoyote mkuu. FILA sio neno la matusi... Labda hapo kwenye 'L' pawekwe 'R' ndo ingeleta sokomoko kitaani
Jolly juice zile yako maji tuAngekupa fanta si ungejisifu, ile ilikua ni jwisi tu. Tena haikua jwisi ya matunda bali wanachukua maji yanachanganywa na sukari na ungaunga fulani wa wa rangi ya orange halafu wana miminia daqa fulani kwa ajili ya kweka radhi ya chungwa kwenye hiyo jwisi