Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hii comment naikazia..Sio kiuchuro tu bali pia imepitwa na wakati
Hizi ni baadhi ya sheria za kipuuzi sana, na majaji wetu wanajiona ni wasomi huku bado wanatekeleza sheria zisizo na maana yoyote.Ni kauli ya kushangaza kidogo kama mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo Watuhumiwa mmewapeleka hapo kufanya Nini kwanini wasiende moja kwa moja mahakama yenye nguvu kisheria ya kusikiliza kesi za namna hiyo?
Mambo ya zamani Bado tunayashadadia sana Tanzania.
Hili hata Mimi silielewi!Wakili MSOMI,Halafu mahakamani wapo tuu.Ni kauli ya kushangaza kidogo kama mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo Watuhumiwa mmewapeleka hapo kufanya Nini kwanini wasiende moja kwa moja mahakama yenye nguvu kisheria ya kusikiliza kesi za namna hiyo?
Mambo ya zamani Bado tunayashadadia sana Tanzania.
Tena gharama za magari,karatasi,kujazana ovyo mahakamani, mwisho wa siku, mahakama haina mamlaka,mnawasomea wa Nini mashtaka kama mmefungwa mdomo na sharia ya kikoloni!?Imekaa kihuni kulikua na haja gani kuwapeleka watuhumiwa sehemu ambayo watakua bubu..
Hizi sheria za hovyo Wanasheria na Wanaharakati wapo kimya niliwahi kufikiri kuhusu ili swala nikasema ni upuuzi tu hata kama ni sheria ni zile sheria zilizokufa ila bado zinatumika..Tena gharama za magari,karatasi,kujazana ovyo mahakamani, mwisho wa siku, mahakama haina mamlaka,mnawasomea wa Nini mashtaka kama mmefungwa mdomo na sharia ya kikoloni!?