Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

Joined
Jul 22, 2019
Posts
10
Reaction score
27
Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua?

Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli?
  • hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya utendaji/uwajibikaji wa tume hizo za uchunguzi.
  • hatuoni tahadhari zaidi zikichukuliwa kufuatia majanga ya namna hiyo mfano moto
  • tukio linapojirudia inadhihirisha wazi kuwa bado hapakuwa na maandalizi ya dharura juu ya majanga

Hizi tume zinatusaidia nini?
 
Back
Top Bottom