Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua?
Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli?
hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya utendaji/uwajibikaji wa tume hizo za uchunguzi.
hatuoni tahadhari zaidi zikichukuliwa kufuatia majanga ya namna hiyo mfano moto
tukio linapojirudia inadhihirisha wazi kuwa bado hapakuwa na maandalizi ya dharura juu ya majanga