kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kikawaida mwanadamu anapokuwa anapitia changamoto Fulani katika maisha yake Ni lazima stress sitawale katika kichwa chake na mawazo ya kutaka kutatumia changamoto hiyo kwa haraka saana na Mara nyingi stress zinazidi kuwa nyingi pale Anapokuwa haoni matamaini ya kutatua changamoto zake
But mwenzenu mimi ni tofauti saana nina mke na mtoto mmoja lakini Nimekuwa mtu wa kuchukulia kila changamoto yote kawaida Yaani kichwa changu hakinaga stress kabisa wala sinaga mda wa kufikiria mambo kwa undani.
Nimekuwa tu mtu wa kuchukulia kila kitu normal hisia za stress kwangu hazipo kabisa Wala hisia za kufocus na kitu kwangu hazipo kabisa
Nimekuwa nikipoteza vitu muhimu kwa sababu ya upuuzi huu sinaga machungu ya kujali kitu sana au kuthamini kitu
Hii inaweza kuwa tatizo gani