Kumekuwa na taarifa mbalimbali juu ya chanzo cha maandamano na vurugu zilizotokea.
Wengine walio serikalini wakiwashutumu wahuni na watu wa nje kuwa ndio chanzo. Na wale walioandamana wanaona kwamba labda serikali na baadhi ya wanasiasa walio madarakani na nje ya madaraka kama ndio chanzo cha hayo maandamano na vurugu hizo.
Hivyo ni vizuri tukaacha kutupiana lawama na kuwa watiifu kwa maslahi mapana ya nchi badala ya maslahi binafsi au kikundi cha watu, katika kutekeleza ushauri wa Rais wa Zambia, Hichilema , alivyosema.
Na sio kudakia maneno hayo, na kuficha chanzo cha tatizo na kuweza kutoa tiba iliyo bora au inayotakikana ktk jambo hili.