Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaaaTatizo ni wanaume kutowajibika na malezi ya watoto wao.
Wanaume wengi wanalelewa na mama zao tu. Baba either amekula kona mazima au yuko bize kutafuta hela.
Mwisho wa siku toto la kiume linaanza kijipodoa na kutamani kupigwa pu*bu kama mama yake.
Ewe mwanaume wa kiafrika, hatma ya mtoto wako wa kiume iko mikononi mwako, mwoneshe njia ya ushujaa na ujasiri wetu, mfundishe namna ya kuwa mwanaume kamili!!!
Leo tunashabikia wanaume wenzetu mastejini na mitaani huku wakiwa wamejiweka katika viashiria vinavyoendana na mambo ya kike.
Ndio maana mademu wanawadharau siku hizi maana mna act kama wao ambao ndio hao hao mnaowaita wadhaifu.
View attachment 3113949
View attachment 3113950
View attachment 3113951
View attachment 3113952
HakikaMababu zetu hawakuwa wajinga kukataza wanaume kufanya kazi za kike kama kufua kuosha vyombo, kupika,na mengineno tatizo limeanza pale tuliporuhusu maswala ya haki sawa sijui gender balance na mara gender equity haya ndio matokeo yake
🤝🤝🤝Tatizo ni wanaume kutowajibika na malezi ya watoto wao.
Watoto wengi wa kiume wanalelewa na mama zao tu. Baba either amekula kona mazima au yuko bize kutafuta hela.
Mwisho wa siku toto la kiume linaanza kijipodoa na kutamani kupigwa pu*bu kama mama yake na dada zake.
Ewe mwanaume wa kiafrika, hatma ya mtoto wako wa kiume iko mikononi mwako, mwoneshe njia ya ushujaa na ujasiri wetu, mfundishe namna ya kuwa mwanaume kamili!!!
Hamna lolote,kwa hiyo enzi za Sodoma na Gomora chanzo ni kuosha vyombo na kupika? Yaani kila mmoja anajaribu kupapasa ni nini chanzo chake lakini hakuna anaejuwa hata mmoja. Wote wanabahatishaMababu zetu hawakuwa wajinga kukataza wanaume kufanya kazi za kike kama kufua kuosha vyombo, kupika,na mengineno tatizo limeanza pale tuliporuhusu maswala ya haki sawa sijui gender balance na mara gender equity haya ndio matokeo yake
Ulimwengu ulimsahau mtoto wa kiume na ukawa busy na mtoto wa kike.Leo tunashabikia wanaume wenzetu mastejini na mitaani huku wakiwa wamejiweka katika viashiria vinavyoendana na mambo ya kike.
Ndio maana mademu wanawadharau siku hizi maana mna act kama wao ambao ndio hao hao mnaowaita wadhaifu.
View attachment 3113949
View attachment 3113950
View attachment 3113951
View attachment 3113952