Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawashauri vp ndugu zetu wamasaiTatizo ni wanaume kutowajibika na malezi ya watoto wao.
Watoto wengi wa kiume wanalelewa na mama zao tu. Baba either amekula kona mazima au yuko bize kutafuta hela.
Mwisho wa siku toto la kiume linaanza kijipodoa na kutamani kupigwa pu*bu kama mama yake na dada zake.
Ewe mwanaume wa kiafrika, hatma ya mtoto wako wa kiume iko mikononi mwako, mwoneshe njia ya ushujaa na ujasiri wetu, mfundishe namna ya kuwa mwanaume kamili!!!