Hivi ilikuwaje kuwaje vijana wa kiume kuanza ku-embrace image ya kike angali mababu zao walihakikisha kuwepo na gap kubwa kati ya u-dume na u-kike

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Leo tunashabikia wanaume wenzetu mastejini na mitaani huku wakiwa wamejiweka katika viashiria vinavyoendana na mambo ya kike.

Ndio maana mademu wanawadharau siku hizi maana mna act kama wao ambao ndio hao hao mnaowaita wadhaifu.




 
Tatizo ni wanaume kutowajibika na malezi ya watoto wao.

Watoto wengi wa kiume wanalelewa na mama zao tu. Baba either amekula kona mazima au yuko bize kutafuta hela.

Mwisho wa siku toto la kiume linaanza kijipodoa na kutamani kupigwa pu*bu kama mama yake na dada zake.

Ewe mwanaume wa kiafrika, hatma ya mtoto wako wa kiume iko mikononi mwako, mwoneshe njia ya ushujaa na ujasiri wetu, mfundishe namna ya kuwa mwanaume kamili!!!
 
Wanawaonea wivu dada zao hivyo basi kile wanachofayiwa dada zao na wao wantaka hivyo hivyo
 
Haswaaaa
 
Kuhusu wasukuma linakaaje mana nikohapa laela sumbawanga ,nachoona kwahawa watu ndo naona kwenye picha hizo ulizoweka bandikoni
 
Wengine lipstick alafu wanajiita Rasta, alafu watoto wanaambiwa say yeaaah eti nayo yeeeeahhh🤔
 
 
hivi mababu wa tanzagiza nao ni watu wa kuwafwata kwa chochote kile? waliifanyia nini cha maama hii jamii? kuna kipi cha kurithi?
 
Mababu zetu hawakuwa wajinga kukataza wanaume kufanya kazi za kike kama kufua kuosha vyombo, kupika,na mengineno tatizo limeanza pale tuliporuhusu maswala ya haki sawa sijui gender balance na mara gender equity haya ndio matokeo yake
Hakika
 
🤝🤝🤝
 
Mababu zetu hawakuwa wajinga kukataza wanaume kufanya kazi za kike kama kufua kuosha vyombo, kupika,na mengineno tatizo limeanza pale tuliporuhusu maswala ya haki sawa sijui gender balance na mara gender equity haya ndio matokeo yake
Hamna lolote,kwa hiyo enzi za Sodoma na Gomora chanzo ni kuosha vyombo na kupika? Yaani kila mmoja anajaribu kupapasa ni nini chanzo chake lakini hakuna anaejuwa hata mmoja. Wote wanabahatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…