Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

Mimi nauogopa sana,yaani sitaki kabisa kupata HIV hivyo nilishaabstain kabisa mambo ya ngono.Sichezi mechi mimi tena siku hizi.
Mmmh! Ebu acha kunipiga sounds Victoire asubuhi asubuhi basi [emoji23] yaani uache utamu kirahisi rahisi tu
 
Nasikia wadau humu wanasema huyo Rashida jina lake ni Shida sio Rashida, Sasa ilikua kuaje akajichonga jina alimanusura ajiite Rashid kumbe jina lake ni wimbo wa Marijan Rajabu 'Shida' anasema: hakuna kitu kibaya humu Duniani km 'Shida', akaona isiwe kesi ngoja atohoe aweke Ra pale mbele lisomeke Rashida daah dunia unakimbia sana
 
Ukiona hivyo ujue ni swali takataka,nimelipuuzia. Si kila swali linajibiwa.
Umelipuuzia wakati wewe umesema Jay anaugua ukimwi na ukasema ulimpima hospital Muhimbili, nikakuuliza vipimo vyake una uhakika vilisoma ana ngwengwe ?
 
Umelipuuzia wakati wewe umesema Jay anaugua ukimwi na ukasema ulimpima hospital Muhimbili, nikakuuliza vipimo vyake una uhakika vilisoma ana ngwengwe ?
Acha utoto. Jibu lipo hapo hapo kwenye comment yako.
 
Get out of your mamas home go get bread,,you people are fools kutwa kujadili Mambo ya watu
 
Umenikumbusha mbalisana king'oko ndo niliijulia bangi pale kwa mara ya kwanza
Kina ngwea mchiz mox mbwa wale na mijamaa flani haikuwa na majina

Mikocheni primary tuliharibiwa sana na king'oko kwa maswala ya bangi
Nashukuru Mungu niliweza kuvuka salama
 
Bestbite kitambo kina mwana fa chimbo lao
 
Bestbite kitambo kina mwana fa chimbo lao
Bestbite ule mgahawa umetulia kinoma na umekomaa kwa muda mrefu hukuti vijana wa hovyo mule ndani, mbele kidogo palikuwa na mwingine unaitwa Eaters point naona wamekata ring umefungwa.
 
Mimi nauogopa sana,yaani sitaki kabisa kupata HIV hivyo nilishaabstain kabisa mambo ya ngono.Sichezi mechi mimi tena siku hizi.
Hapa umenena kweli...Aisee wewe mwanamke ni mkweli sana!
 
Rashida wanjara amegoma kuzeeka she is still looking young and energetic.
 
Rashida wanjara amegoma kuzeeka she is still looking young and energetic.

Hivi 40-45 anakuwa mzee? Mimi naona kuanzia 60 hivi ndiyo mabadiliko yanaanza kutokea kwenye ngozi ,siku hizi hadi miaka 30 wana mvi sasa na hao utawaita wazee? Huyo wanjara hata 45 hana utasema amegoma kuzeeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…