Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

Miaka 45,50 bongo tu ndio wanaonekana wazee kwasababu wengi hujiachia sana wanakua wamama tena wanenéa hapo kama Mlevi tumbo hilo,,, marekani kwajinsi wanavyojijali anaonekana kama binti wa miaka 20 na wengi wao wanakua na vijukuu haha
 
Ngoja nimtafute nile nae dozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…