Iko hivi, uko ndani ya gari (daladala au hata basi!)
sasa pembeni yako akawa yupo jamaa, akakuuliza. "tumefika wapi hapa" wewe nae ili usionekane bwege, unamjibu "hapa ni ubungo"
siti ya mbele anadakia jamaa mwingine anasema "hapana, hapa ni mbezi mwisho"
imeshakupata? kama mwezi ulivyopatawa vile!