Hivi imeshakutokea unasafiri na jamaa, Ghafla anakuuliza, "hapa tumefika wapi?"unamjibu "hapa ni ubungo"kumbe mmefika mbezi.

Hivi imeshakutokea unasafiri na jamaa, Ghafla anakuuliza, "hapa tumefika wapi?"unamjibu "hapa ni ubungo"kumbe mmefika mbezi.

Sauda

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
860
Reaction score
1,106
Iko hivi, uko ndani ya gari (daladala au hata basi!)
sasa pembeni yako akawa yupo jamaa, akakuuliza. "tumefika wapi hapa" wewe nae ili usionekane bwege, unamjibu "hapa ni ubungo"
siti ya mbele anadakia jamaa mwingine anasema "hapana, hapa ni mbezi mwisho"
imeshakupata? kama mwezi ulivyopatawa vile!
 
lakini mbezi mwisho si ipo wilaya ya Unbungo, Technically hajakosea kitu
 
Back
Top Bottom