Hivi, ina maana sasa hivi Makamu wa Rais Dkt. Mpango hahusiki kabisa na chochote kifanywacho na Serikali?

Hilo ni swali ninaloliuliza kwa nia njema kabisa.

Ni swali ambalo limekuwa likinijia kichwani mwangu baada ya Rais Samia kuwa Rais.

Nimeona na nimesikia sana kuwa Sasa Rais Samia “ is returning to the authoritarian practices of John Magufuli.”

Hivi, kama Rais akiwa dikteta, wewe makamu wake unakuwa nani sasa?

Unajitengaje na udikteta wa bosi wako?

Kwa sababu, kama wewe makamu hukubaliani na udikteta wa bosi wako, si unajiuzulu tu ili usiendelee kuchafuka.

Sasa unapoendelea kuwa makamu huku matendo ya kidikteta yakiendelea, maana yake ni huoni kibaya kinachoendelea.

Hizi habari za kwamba Rais Samia anarudi kwenye udikteta wa Rais Magufuli, ni bad faith arguments.

Anarudi kivipi ilhali yeye ndo alikuwa makamu wa Rais wa Magufuli?

Dkt. Mpango yeye hahusiki kabisa na chichote ambacho bosi wake, Rais Samia, anachokifanya?

Kama Magufuli alikuwa ni dikteta basi Samia harudi kwenye udikteta. Ni mwendelezo wa matendo ya timu ile ile iliyokuwepo.

Tofauti iliyopo sasa ni kwamba aliyekuwa kocha msaidizi ndo kawa kocha mkuu.

Watu waache kujitoa ufahamu.
umejitahidi sana kupotosha kinyonge mno gentleman ..

amekufundisha nani upotofu wa wazi kama huo?🐒
 
Umenikumbusha kuhusu mtoto wa nyoka
 
VP hahusiki kabisa na matendo na maamuzi ya bosi wake kwasababu kwa mujibu wa katiba yetu, rais wa JMT ni executive president ambaye anafikia maamuzi yote yeye kama yeye, anaweza kushauriwa na yeyote lakini kwenye kufikia maamuzi ni yeye mwenyewe kama yeye hawajibiki kufuata ushauri wa yeyote!. VP wetu ni president in waiting has no any executive powers, hata rais akiwa hayuko nchini na nchi kuwa chini ya VP, bado hawezi kusaini chochote kinachohitaji saini ya rais. Hiivyo VP wetu is just a figure kusubiria just incase rais ata nanilii!. Samia was not a part to maamuzi , mawazo,maneno na matendo ya JPM, so does Dr Mpango is not a part to maamuzi, mawazo,maneno na matendo ya Rais Samia isipokuwa maamuzi ya cabinet yanakuwa ni maamuzi ya wote under the collective responsibility clause.
P
Paskali hapo umeamua kutokumwelewa mjumbe.Au hapo akili kubwa umeiweka likizo.Alipo VP wa leo ndipo alipokuwa P wa leo.
 
Back
Top Bottom