🤣🤣🤣Mbali na comments lakini kaasili ka ukorofi unako mkuu🙌Kama uchawi upo, kwa nini hauthibitishiki?
Watu tulishatoa ofa ya kurogwa lakini mmeshindwa!
Ngoja niwatukane tena….nyie wachawi wote ni wacenge tu 🖕.
Haya nirogeni sasa
Urogwe una nini? Wachawi huwa hawarogi makapukuKama uchawi upo, kwa nini hauthibitishiki?
Watu tulishatoa ofa ya kurogwa lakini mmeshindwa!
Ngoja niwatukane tena….nyie wachawi wote ni wacenge tu 🖕.
Haya nirogeni sasa
Mshana ndio case studyMbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Si ameshaokoka na matunguli ametupa, aje aseme alivyokuwa ana rostika watumishi wakisema fayaa🤣🤣🤣Kakataa kabisa mkuu
Kwani mkuu uchawi unafanywa na wachawi tu? Nikiwa na maana mtu yeyote anaweza akaamua kuiba kitu na sio kwamba ili uibe lazima uwe mwizi.Siku hao unaowaita wachawi wakiamua kusema ukweli wao hadharani inawezekana ikawa ndio kifo Cha hizo imani zinazoaminiwa na wengi.
Kwasababu mtajua jinsi gani hizo imani ni project zao za kuwazubaisha, au jinsi gani hazina uzito dhidi yao, yaani zipo chini kiujuzi.
Wakisema mtanasuka kwenye mtego wao.
Kwa nini mkuu?Uchawi ni drama tu za kijinga
Mwenzake Erica ameandika mpaka kitabu namna alivyotumikia kuzimu na namna alivyokuwa anaingia akikutana na faya🤣🤣🤣 Ngoja aje mkuu
Kwani mkuu uchawi unahusu kumtia mtu madhara tu? Mbona tunasikia uchawi unatumika hata kwenye tiba ya maradhi ya kawaida, au katika jambo la kumletea mtu mwenye manufaa.Kabisa, hofu + imani ndio matokeo ya kuathiri ubongo na kufikiri uchawi
Huwa hawajisemi mpaka waokoke ndio utasikia tulikuwa wezi kama wewe, tulikuwa wachawi kama wewe,Mh, mbona watu wanakataa humu kwamba hakuna uchawi?
Mchawi kma Hana shida na wewe,, hata akupe chakula Haina shida,,Na poor ubongo kuthibitisha kuwa yeye ni mwanga hatari 🤔🤦 imenipa uchungu sana,hivi ukimpea mchawi papuchi inafanyaje?
Nipo njema mkuu, sijui huko ?Unaendeleaje ndugu yangu.
Nipo kamili gadoNipo njema mkuu, sijui huko ?