Swali langu umelielewa lakini mkuu? Nimeuliza waganga huwa wanafanyaje pale wanapojiwa na mteja ambaye anataka kumroga mtu mwengine iwe kumtia stroke au kumuuwa kabisa?Unaweza thibitisha kuwa mtu kauliwa na uchawi au kapewa stroke?
😀😀Puna mkuu...
Niulize tena!
Akikujibu nishtue mkuuSwali langu umelielewa lakini mkuu? Nimeuliza waganga huwa wanafanyaje pale wanapojiwa na mteja ambaye anataka kumroga mtu mwengine iwe kumtia stroke au kumuuwa kabisa?
Yani nachotaka kujua waganga wanawatapeli vp watu wenye kutaka kuwaroga wenzao? Maana watu wanaenda kwa waganga kwa mambo kama hayo, sasa uchawi hakuna je waganga wanafanyaje kumuaminisha mteja wake kuwa alichotaka kimefanyika?
Sasa mkuu utajuaje kama umerogwa au haujarogwa? Kwani unajua kurogwa kunakuwaje? Mi naona una mtazamo usio sahihi kuhusu uchawi.Kama uchawi upo, kwa nini hauthibitishiki?
Watu tulishatoa ofa ya kurogwa lakini mmeshindwa!
Ngoja niwatukane tena….nyie wachawi wote ni wacenge tu 🖕.
Haya nirogeni sasa
Hizi issue za kiroho bhn Mungu atulinde tuu, basi maake ni shida tupu🤣🤣🤣🤣Afu asilimia kubwa tunaipenda yuyu😋
Imani inajimanupulate yenyewe hakuna cha utaalamu wala nini ukija Tanga njoo nikuoneshe watu wanavyotapeliwaSwali langu umelielewa lakini mkuu? Nimeuliza waganga huwa wanafanyaje pale wanapojiwa na mteja ambaye anataka kumroga mtu mwengine iwe kumtia stroke au kumuuwa kabisa?
Yani nachotaka kujua waganga wanawatapeli vp watu wenye kutaka kuwaroga wenzao? Maana watu wanaenda kwa waganga kwa mambo kama hayo, sasa uchawi hakuna je waganga wanafanyaje kumuaminisha mteja wake kuwa alichotaka kimefanyika?
Wachina Wana Jenga 😂 😂 😆 baharini, wazungu wanapeleka vitu anga za juuu..Mkuu ni Mungu anakupenda sana ila uchawi upo sema usiuendekeze sasa.
Wengi huwa wanauendekeza kitu kidogo nimerogwa.
Ila uchawi kuwepo upo mkuu.
Tena wazungu na waarabu ndio wachawi wakuu duniani.
Uchawi ni Imani,matokeo Yake yanampata anaye Amini na si vinginevyo! Wewe unayeamini uchawi upo utarogwa na utarogeka,Mimi siamini katika uchawi!!Hapo umethibitisha kwamba hakuna uchawi duniani au hakuna uchawi wa chuma ulete au umethibitisha huyo mbaba sio chuma ulete?
Hapo umethibitisha kwamba hakuna uchawi duniani au hakuna uchawi wa chuma ulete au umethibitisha huyo mbaba sio chuma ulete?
Kinachofanyika ni ujanja ujanja Tu mkuu,weka Imani pembeni ufanye utafiti utaona!!Tusadie mkuu mganga anatapeli vp mtu pale anapomjia mteja anayetaka kumroga mtu mwengine?
Oyah!Raha ya uchawi kulimisha watu shambani...
Huko kijijini unakuta kibibi kinalima heka moja kwa siku mbili kwa jembe la mkono, kitu ambacho watu wa kanisa na msikiti hawawezi...
Haujanijibu swali lakini mkuu, eleza sasa waganga huwa wanafanyaje ili kumuaminisha mteja mwenye kutaka kumroga mtu ili awe chizi au kumuuwa kabisa? Kwa sababu katika mambo ambayo hufanya watu kwenda kwa waganga ni pamoja na kumroga mtu mwengine, sasa mganga akiletewa kesi kama hiyo huwa anatapeli vp na mteja akaamini?Imani inajimanupulate yenyewe hakuna cha utaalamu wala nini ukija Tanga njoo nikuoneshe watu wanavyotapeliwa
Mazingahombwe au kiini macho hivyo ndio vya kweli kabisa
Duh!Zango noma,mtu anakupiga kupitia macho
Dawa yake simpo tu,nasikia unapigwa na ufagio tumboni yani ushapona
Uchawi upo! Anayebisha nimrogeKuna sehemu moja Huwa nikitoka mihangaikoni Huwa napitiaga kunywa kinywajii changamshii 😊
Sasa Kuna brother mmoja nilikutana nae pale yule jamaa ana nyota ya kupendwa sana na watu pale kwenye viunga vya Hilo chimbo.
Jamaa ananisimulia issue ya DAWA INAITWA NGEKEWA ""KWA KWERIIIII JAMAA ATAKUA NA DAWA WATU WANAMPENDA NA WANAMKUBARI SANAAAAAA
AISEEEE UCHAWI WA NDERE NA NGEKEWA UPO SANA KUNA WATU WANA IYO NYOTA YA NGEKEWA
Naomba unirogeUchawi upo! Anayebisha nimroge