Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Blah blah blah! Uchawi haupo.
 
🀣🀣Walitaka wakupuru mkuu,sema nawe unanguvu za mababu aisee...walishindwa
Niliaga kwa tambiko zito kwenye makaburi ya watu wa kale. Nikisikia hizo purukushani nakula mjani wa manabii kwanza halafu natoka nje kucheki usalama
 
Uchawi ni nini?

Uchawi ni kuwa na nia mbaya, wivu, unafiki, kumnyima mwenzako kwa makusudi, au kumtakia mabaya mwenzako.

Kwa ujumla; wote humu ni wachawi kwa namna moja ama nyingine.​
 
Tunapishana sehemu moja Tu,Mimi siamini katika uchawi,Yale ni maigizo!!
Kipindi nasoma kuna jamaa WA mazingaombwe walikua wanakuja shule,wanachukua makaratasi wanageuza yanakuwa helaπŸ€“πŸ€“πŸ€“ wanafanya live bila chenga unaona kabisa,unataka kuniambia walikua na uwezo huo????
Mambo ya flani kamroga flani mi siamini mtu kama kawa Chizi atafutwe mwana saikolojia amsaidie au aende mirembe!!
 
Umeona wapi mganga akimroga mtu kuwa chizi au akamuua? Thibitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…