mganga gani anaua watu mkuu?Kwani nimetoa madai ya mganga kamroga mtu akawa chizi au kafa? Nimeuliza swali watu wenye kuenda kwa waganga ili kuroga watu wawe machizi au wafe je mganga huwa anafanya nini ili kuwaongopea hao watu?
Sasa hiyo ya mtu kuwa chizi au kufa umeitoa wapi?Kwani nimetoa madai ya mganga kamroga mtu akawa chizi au kafa? Nimeuliza swali watu wenye kuenda kwa waganga ili kuroga watu wawe machizi au wafe je mganga huwa anafanya nini ili kuwaongopea hao watu?
Huyu jamaa kama sio muumini wa waganga basi ni muumini wa mwamposa I guessmganga gani anaua watu mkuu?
Sidhani sidhani zako ni nyingi mno.Unajiaminisha hivyo au una uelewa kwamba hakuna uchawi? Unataka kurogwa ila sidhani kama unaweza kujua huko kurogwa ndio kukoje kiasi cha kutaka urogwe ili ukubali kama huo uchawi upo kweli.
Inawezekana huo uchawi usiwepo kweli ila hoja zinazotumika humu kupinga huo uchawi hazina mashiko kabisa.
Kama mambo ya neuroscience.Kusoma na kufuatilia mambo yapi?
atoe tu evidence --- ila hapo ndo mzozo ulipoHuyu jamaa kama sio muumini wa waganga basi ni muumini wa mwamposa I guess
OkKama mambo ya neuroscience.
Wewe unaamini uchawi upoUnajiaminisha hivyo au una uelewa kwamba hakuna uchawi? Unataka kurogwa ila sidhani kama unaweza kujua huko kurogwa ndio kukoje kiasi cha kutaka urogwe ili ukubali kama huo uchawi upo kweli.
Inawezekana huo uchawi usiwepo kweli ila hoja zinazotumika humu kupinga huo uchawi hazina mashiko kabisa.
Watu sio wafutiliaji wa mambo, wazungu huo uchawi wanauweka hadi kwenye vitabu ila bado watu wabishi.Mzungu anatambika uchawi wa mzungu ni science and technology 😁😁
Mwamposa anawaaminisha uchawi upo bila evidence itakuwa yeye aweze kutoa ushahidi? Anaamini tu kama zuzuatoe tu evidence --- ila hapo ndo mzozo ulipo
Sasa hapa mnazungumzia kuwepo uchawi au imani potofu?Wenyewe wanazishape hawana zile Imani potofuu
Yani unasikia case? Mimi nikajua umeona! Wee jamaa unachekesha upo Tanga ipi mkuu Tanga kubwaHivi nyinyi msioamini uchawi ni watanzania kama sisi?
Na mnaishi kigoma tanga pemba tabora simiyu mbeya n.k kama sisi?
Kama mnaishi maeneo haya kama sisi ni kweli hamjawahi kukutana na case za kishirikina au mnatuchora wazee?
Hii nchi hakuna mkoa usio na wachawi na uchawi, nyinyi wenzetu mnaishi wapi?
Soma kwa kuelewa.mganga gani anaua watu mkuu?
Hahaha wabongo bhana, kweli hujui kama tanga kuna uchawi mkuu?Yani unasikia case? Mimi nikajua umeona! Wee jamaa unachekesha upo Tanga ipi mkuu Tanga kubwa
Soma kwa kuelewa.
Unajua kama katika baadhi ya mambo ambayo watu huwafanya kwenda kwa waganga ni pamoja na kuwaroga watu wengine?
Leta ushahidi kuongea tu? Yani wewe unaamini maneno!!Hahaha wabongo bhana, kweli hujui kama tanga kuna uchawi mkuu?
Unamkumbuka yule mkuu wa wilaya aliyefanya kikao na wazee ili barabara ijengwe?
Logically Kulikua na sababu ya kuongea nao kwanza?
Udugu mi nakwambia nipe elfu tano nikuunge kwa group la mashekheUchawi upo sana tuu,,
Wengine hawakumbwi na uchawi kutokana na familia zao walizotoka
NATAFUTA SHEKHE ANITOE UCHAWI NA MAJINI KWA HAPA DAR ES SALAAM!!!!!!
UDUGU WANGU Poor Brain
Ukute huyo ni pastor imani za kichawi ndio zinazomueka mjini kuwaaminisha watu ujinga🤣🤣🤣🤣tushakutana kwenye mijadala mara kadhaa mkuu
upo evasive sana ---
Ni katika mambo yenye kuhusishwa na uchawi na watu wanaenda kwa waganga kwa ajiri ya kuwaroga wenzao. Tunakubaliana waganga wapo na wewe unaona ni matapeli tu ndio maana nauliza hao waganga wakijiwa na mteja mwenye kutaka kumroga mtu mwengine huwa wanafanyaje hao waganga ili kumdanganya huyo mteja?Sasa hiyo ya mtu kuwa chizi au kufa umeitoa wapi?