Nimekuwa nikijaribu sana kutaka kujua wenye kupinga uchawi ni yapi wanayajua ambayo huwafanya kusema hakuna uchawi? Ila naishia kuona wakieleza tu zile imani potofu na kueleza vitu kihisia hisia.🤣🤣🤣Mambo haya magumu kweli mkuu
🤣🤣🤣HIyo itakuwa IMANI sasa sio uchawi, uchawi una mipaka yake aisee, lakini IMANI haina mipaka, ni kuamini kwako tu ndiyo kunaweza kukafanya uinue bilauri ya maji ya kunywa iliyo mbele yako kwa kuitazama tu. Ila uchawi ili uweze kufanya hivyo lazima kuna Conditions zitimizwe kwanza. Uchawi ni formula, IMANK sio formula, nikisema imani sizungumzii kumuamini Yesu tu au Muhammad, niksema IMANI hapo nazungumzia kuwa na hakika na uhitaji wa jambo fulani litokee bila kufanya manjonjo yoyote wala sarakasi zozote, yani, kwamfano unaitazama glasi ya maji iliyo mbele yako na unaanza kuiinua kutokea ndani yako unaikazia macho unaiinua kutokea moyoni mwako na una ujasiri kabisa kwamba inaenda kuinuka bila kuishikilia kwa mikono ya nyama. Sasa uchawi ukitaka glasi inyanyuke hivyo kuna manjonjo (formula) mpaka ufanye na yanaweza yakagoma 😂 Imani ikishindwa kunyanyua glasi ya maji iliyo mbele yako basi tatizo ni kwa mtu mwenyewe alikuwa na mashaka na anachokifanya, lakini uchawi hata uwe jasiri na unachokifanya kama kanuni haisemi hivyo au masharti ya kanuni hayajatimizwa hicho kitu hakitokei. Na uchawi hata ukiwa na mashaka lakini ukipita mulemule kanuni inavyosema basi unapata matokeo yake.Shida watu wanafikiri uchawi ni kama miujiza sijui kwamba unaweza kutaka kufanya lolote yani ni kama kuna switch unasema unataka hivi au vile kisha unabonyeza na inakuwa hivyo.
Anayesema hivyo muache kuna siku atakutana nao mubashara kabisa na yeye ndiyo atakuja kukusimulia vizuri 😂😂😂😂Mkuu hata huko kwenye sayansi wanaelewa basi mambo yalivyo, yani unakuta mtu hata haelewi tofauti ya kutokuwa na uthibitisho na hicho kitu kuwa uongo. Mara nyingi nawatolea mfano kwamba kuna mitishamba mingi tu hutumika kama tiba ila hadi sasa hakuna maelezo na uthibitisho wa kisayansi wenye kueleza ni jinsi gani hizo dawa zinavyotibu ila zinatibu kweli, sasa mtu anakwambia hakuna uchawi kama upo thibitisha kwa maana ukishindwa tafsiri ni moja tu kwamba hakuna huo uchawi.
Sio uchawi ni kiini macho au mazingahombwe usichanganye mazingahombwe sio uchawi hivi wewe umeishia darasa la ngapi?Point ni kwamba unachokiona kwenye mazingaombwe kwa hayo macho yako sivyo ilivyo kwenye uhalisia. Unaona pesa kumbe sio pesa, sasa ukiambiwa kinachofanya uone pesa kumbe makaratasi ni uchawi utakubali?
Nafahamu,, ila nilijua ni novena tofauti na hii ya kila sikuHahaa hujui km rc wametangaza 10 days Novena?
Au swali lako linamaanisha nn
Oya jombii kwani swali halieleweki apo si uthibitishe kuwa uchawi unasababisha uchizi?Kwanini unasema haipo ni kwa sababu tu mimi sijathibitisha?
Ahaa kwani kiini macho ni nini?Sio uchawi ni kiini macho au mazingahombwe usichanganye mazingahombwe sio uchawi hivi wewe umeishia darasa la ngapi?
MazingahombweAhaa kwani kiini macho ni nini?
UchawiAhaa kwani kiini macho ni nini?
Naam, exactly siijui umejuaje mkuu 😂😂😂🤣🤣🤣Chale za tako
Hii iliyotangazwa ya kuombea haki na usawa?Nafahamu,, ila nilijua ni novena tofauti na hii ya kila siku
Ok unataka nikuthibitishie kwa namna gani?Oya jombii kwani swali halieleweki apo si uthibitishe kuwa uchawi unasababisha uchizi?
Ikawaje miaka ya nyuma waganga na wachawi wote walishindwa kujua UKIMWI sio kulogwa ni ugonjwa tu ?Ok unataka nikuthibitishie kwa namna gani?
Kiinimacho ni mchezo unaoweza kuyadanganya macho ya watu kwa kuyaona mambo kinyume na uhalisia ya hayo mambo yalivyo hasa.Sio uchawi ni kiini macho au mazingahombwe usichanganye mazingahombwe sio uchawi hivi wewe umeishia darasa la ngapi?
Mkuu anatambika na manyanga kabisa. We kama hauamini basi mkuu.Mzungu anatambika uchawi wa mzungu ni science and technology 😁😁
Hawajui hata ile tamthilia ya Merlin ni inspired by true history of ancient England (Camelot).Watu sio wafutiliaji wa mambo, wazungu huo uchawi wanauweka hadi kwenye vitabu ila bado watu wabishi.
Hata sasa madktari na wana sayansi hutofautiana kuhusu huo ukimwi, wapo wenye kuona hakuna virusi vye kusababisha upungufu wa kinga mwilini(ukimwi) na mambo mengine kama vipimo vya kupima huo ukimwi hadi madawa ya ARV kote huko wataalamu wanatofautiana.Ikawaje miaka ya nyuma waganga na wachawi wote walishindwa kujua UKIMWI sio kulogwa ni ugonjwa tu ?
Hivi kila kitu kina ushahidi mkuu!?Story za abunuasi ukiambiwa ulete ushahidi wa hayo matukio uliotaja utaanza kuruka ruka