Mh,inahuzunisha sana....ni no kuvunja maagano mpaka kifoHawawezi kusema kwamba wapo, labda wale waliokua Wachawi wakaokoka.
Wachawi wengi walifundishwa Uchawi wakiwa Watoto bila kujua Madhara yake, Kwa Utoto wao wali enjoy kuruka Kichawi na kufanya Uchawi, baada ya kupata Akili, wengi wanajuta, wanatamani kuacha Uchawi lakini inakua ngumu Kadri ya mikataba Yao waliyoingia, kitendo Cha kuacha Uchawi ni Uasi, na Hukumu yake ni Kifo, utauwawa na Wachawi wenzako.
Ni wale wanaoacha Uchawi Kwa maombi ndiyo Wana Ulinzi.... Wapo Wachawi wengi wanatamani kutaka kuacha Uchawi, ila wanashindwa na njia salama zaidi ni Kuombewa na kuokoka, na bado hakuna huduma rasmi inayohudumu na kuondoa Uchawi Kwa Watu, Wachache wanaoacha Uchawi na kuokoka ni Kwa sababu ya Neema ya Mungu Kwa kile alichoweka kwao, na Shetani akawahi kuwaiba Toka Utotoni, na Wakati ukifika Mungu anawatoa huko mwenyewe, that's why Wachawi wengi na Waganga wengi wanapookoka straight wanakua Wachungaji nakuanza kuhubiri, coz wako na Chanell ambayo Mungu aliweka kwao Kwa kazi yake, na ni Chanell hiyo hiyo Shetani naye anahitaji Kwa Kazi za Giza....!
Wachawi wengi na Waganga wengi, wasingekua Wachawi wangekua Watu wakubwa.....! Na ndiyo hicho Shetani anataka, Shetani haangaiki na Mtu useless.
Wote walidai hivyo ndioKwahiyo hao waganga wote tofauti kupitia ramli zao walisema kitu kimoja kwa maana wote waliona kupitia ramli kuwa huyo binti alirogwa na ndugu wa karibu?
Nguketa nine ng'atu, hahahahah🤣Nalalusyagha itolo
We kiazi mistari ya longitude na latitude ni imaginery lines hizo GPS huwa zinasoma coordinates point tu sio hizo latitude na longitude.Kosugi soma hapa usiwe unauliza vitu mara mbili mbili
Mistari ya longitude na latitude inapimika kwa kutumia GPS deivices haya tuambie uchawi unaupima kwa kutumia nini?
Karne ya 15 huko ulaya watu waliuwawa kwa tuhuma za uchawi , wanasayansi wakafuatilia visa vya watu walio uwawa karne ya 17 ikaja thibitika watu hao walikua na shida ya akili, kutokana na tabia zao za ajabu wakapewa tuhuma za kichawi.🤔Tuoneshe behind the scenes ya uchawi kama tunavyoona mazingahombwe acha kurukaruka kama huna uthibitisho kaa kimya
Ushaanza kuleta matusi kwenye hoja ni dalili ya kuishiwa hojaWe kiazi mistari ya longitude na latitude ni imaginery lines hizo GPS huwa zinasoma coordinates point tu sio hizo latitude na longitude.
Nimekuuliza una uhakika kila kitu unakihisi,unakiona ama kukishika!?
Hujanipa jibu bado.
Mkuu niache kidogo nipo kwenye kikao Cha dharulaKuna bwana mmoja alikuwa anaitwa Mtu mzito sijui alipotelea wapi? Yule bwana alikuwa mtaalamu sana
Pia huyu Dogoli kinyamkela anaweza kuwa na majibu
Uchawi hauwezi thibitika popote kivyovyote uongo tuKarne ya 15 huko ulaya watu waliuwawa kwa tuhuma za uchawi , wanasayansi wakafuatilia visa vya watu walio uwawa karne ya 17 ikaja thibitika watu hao walikua na shida ya akili, kutokana na tabia zao za ajabu wakapewa tuhuma za kichawi.🤔
Wewe tenah 😂
Kuna magonjwa kipindi cha nyuma yalisemekana ni uchawi na kulogwa ila yalivyopata fumbuzi za kitabibu hiyo dhana ikapotea.Uchawi hauwezi thibitika popote kivyovyote uongo tu
Unajitoa Tena 😂 😂Mi simo,aliyekutag ndiyo nyoka naye mkuu🤣😔
Hata Wachawi wengi hawajui Lucifer mwenyewe ndiyo anaendesha hizo Secret society za Uchawi, coz Kwa level ya Uchawi wa wengi hawawezi kumsogelea Lucifer ila wanapokea Maelekezo Toka Kwa Wakubwa wao.Mh,inahuzunisha sana....ni no kuvunja maagano mpaka kifo
Wakishindwa kufikiria na kutambua magonjwa na matatizo ya kimwili na kimaisha wanasingizia uchawi kitu ambacho hakijawahi kuwepo duniani koteKuna magonjwa kipindi cha nyuma yalisemekana ni uchawi na kulogwa ila yalivyopata fumbuzi za kitabibu hiyo dhana ikapotea.
Naelewa nilijua ni hii ya my Ritha, au huruma ya Mungu,,Hii iliyotangazwa ya kuombea haki na usawa?
Tofauti na ipi, btw mi sijui sn kuhusu novena
SijawaiIle ni true stori bro kama unavyoona hizi tamthilia za Ottoman empire basi na Ile ni vile vile.
Sema kwa kuendelea kwa dunia ana civilization pamoja na globalization kutamalaki haya mambo yamepungua.
Uliwahi kuona mzungu anang'ang'ania umuuzie bangili ya shaba!?
Nimeshakukosoa HUWEZI UKAPIMA MSTARI WA LONGITUDE NA LATITUDE.Kosugi soma hapa usiwe unauliza vitu mara mbili mbili
Mistari ya longitude na latitude inapimika kwa kutumia GPS deivices haya tuambie uchawi unaupima kwa kutumia nini?
Sasa kwanza hiyo inawezekanaje watu wakasema kitu kimoja kwamba ni coincedence tu au vp? Kwanini wengine wasingesema kitu tofauti labda karogwa tu na mtu mwengine au kakumbwa tu na jini na si kwamba karogwa na ndugu? Na kote huko alikopita alipatiwa matibabu akashindwa kupona au aliishia kupiga ramli tu?Wote walidai hivyo ndio
Sasa hapo mkuu unajua kuna nini!?Basi ngoja nikupe mfano hai. ,kuna binti mmoja alikua anaanguka na kutoa povu , wazazi wake wakazunguka mikoa mbalimbali kwa wapiga ramli kila mmoja akasema wamelogwa na ndugu wa karibu na kutupiwa majini .
Tukamshauri aende hospital ikagundulika ni kifafaa ,akaanza dawa akarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Ikawaje hao wapiga ramli waseme hivyo na kushindwa kugundua sababu?
Note: sijasema tiba za. Mitishamba hazipo.