Bila hata science tofauti na maneno ya kuambiwa tu na kuamini hauwezi Thibitisha kinachoitwa roho.Nimeshakukosoa HUWEZI UKAPIMA MSTARI WA LONGITUDE NA LATITUDE.
Zinazopimwa ni coordinates points zinazotokana na makisio ya hizo longitude na latitude.
Jibu swali langu unaweza ukapima kila kitu?
Can you sense,feel or touch a soul?
Can you prove scientifically that there is a soul in a body!?
Aah ok,I think wanatumia Ritha wa kashia kitu I'm hichoNaelewa nilijua ni hii ya my Ritha, au huruma ya Mungu,,
Mnaosema kuna uchawi, mnatakiwa kuuelezea upo vipi na una criteria gani kufanya kazi.Nimeshakukosoa HUWEZI UKAPIMA MSTARI WA LONGITUDE NA LATITUDE.
Zinazopimwa ni coordinates points zinazotokana na makisio ya hizo longitude na latitude.
Jibu swali langu unaweza ukapima kila kitu?
Can you sense,feel or touch a soul?
Can you prove scientifically that there is a soul in a body!?
Ndio maana nikasema ikaja gundulika ni kifaa na akapata matibu, ikawaje uchawi na uganga unaosemekana una uwezo mkubwa wasigundue hilo ? Mpaka wakadai ni kulogwa?Sasa kwanza hiyo inawezekanaje watu wakasema kitu kimoja kwamba ni coincedence tu au vp? Kwanini wengine wasingesema kitu tofauti labda karogwa tu na mtu mwengine au kakumbwa tu na jini na si kwamba karogwa na ndugu? Na kote huko alikopita alipatiwa matibabu akashindwa kupona au aliishia kupiga ramli tu?
Kuna maswali mengi ya kuuliza ili kuelewa hilo tukio zima, maana yawezekana ni kweli huyo binti karogwa kama walivyosema hao waganga wote kupitia ramli kwamba chanzo cha huo ugonjwa ni huko kurogwa maana wapo watu pia wana ushuhuda wa kwamba walikuwa wanaumwa ugonjwa wenye kujulikana kabisa ila wamezunguka sana mahospitali na kumaliza madawa ila wakaja kupona kwa waganga yote yapo hayo mkuu.
Wao wanaamini kuwa bangili ya shaba huwa ina attraction na repulsion force. Attraction force ya bahati,utawala na nguvu na repulsion force ya mikosi,husda na bahati mbaya.Sijawai
Ila German Wana uchawi wa kijerumaniii
Umenikumbusha nyuzii za RUPIA/ MALI ZA MJERUMANII
Tunaenda taratibu kaka,shida mkiambiwa ithbati yake mnaanza kukataa na kusema kuwa thibitisheni.Mnaosema kuna uchawi, mnatakiwa kuuelezea upo vipi na una criteria gani kufanya kazi.
Kutoa lawama kwa wasioamini uchawi ni utani sasa
Mfano kwenye latitutena longitude mmoja akisema zipo na mwingine akisema hazipo njia rahisi ni anayesema zipo kueleza/thibitisha zipo kwa sababu gani
Kuna kipindi africa yote waliamini Ukimwi ni uchawi, ikawaje na wachawi na waganga wasigundue sio uchawi? Mpaka ilipo kuja gundulika kisayansi ?Sasa hapo mkuu unajua kuna nini!?
Kuna uendekezaji wa mila za kishirikina.
Sasa ukiwa unaendekeza mila za kishirikina lazima utakutana na wajanja wa mjini wataenda sawa na imani zako vile vile watakupiga hela.
Hiyo ni kitu uendekezaji,na waganga waongo waongo sana.
Ni kama hawa mashehe ubwabwa na mapadre wajaza mitungi ya gesi kwa mdomo.
Ukiwafuata lazima wakudanganye ooh una jini mahaba ooh umerogwa.
Ukiendekeza imani za kishirikina hilo ni tatizo.
Kwanini tunasema kuna roho mkuu?Bila hata science tofauti na maneno ya kuambiwa tu na kuamini hauwezi Thibitisha kinachoitwa roho.
Kwahiyo uchawi ni dhana ya kubuni isiyopimika?Nimeshakukosoa HUWEZI UKAPIMA MSTARI WA LONGITUDE NA LATITUDE.
Zinazopimwa ni coordinates points zinazotokana na makisio ya hizo longitude na latitude.
Jibu swali langu unaweza ukapima kila kitu?
Can you sense,feel or touch a soul?
Can you prove scientifically that there is a soul in a body!?
Mimi sisemi wala siamini , wewe ndio useme sasa mkuuKwanini tunasema kuna roho mkuu?
Na kwanini tunaamini roho au nafsi ipo?
Mazingaombwe yote yanaonyeshwa behind the scenes?Tuoneshe behind the scenes ya uchawi kama tunavyoona mazingahombwe acha kurukaruka kama huna uthibitisho kaa kimya
Hii inapatikana wapii na Mimi ni ichukue..Wao wanaamini kuwa bangili ya shaba huwa ina attraction na repulsion force. Attraction force ya bahati,utawala na nguvu na repulsion force ya mikosi,husda na bahati mbaya.
Hao wazungu wanaamini hivyo.
View attachment 3446929
Umeona hiyo kaka?
Baadhi yao wakikuona umeivaa watakushilia sana uwauzie.
Anahamisha madaMimi sisemi wala siamini , wewe ndio useme sasa mkuu
Kila jambo lina udhaifu kaka.Kuna kipindi africa yote waliamini Ukimwi ni uchawi, ikawaje na wachawi na waganga wasigundue sio uchawi? Mpaka ilipo kuja gundulika kisayansi ?
Ndiyo! Mazingahombwe yote yana behind the scenes maana ni michezo tu Ile kama kombolelaMazingaombwe yote yanaonyeshwa behind the scenes?
Kwanza tuelewane hakuna niliposema mazingaombwe yote ni uchawi, nachokisema ni kwamba unachokiona sivyo ilivyo kwenye uhalisia kwahiyo inaweza kutumika mazoezi ya kawaida au ukatumika uchawi kukufanya uone vitu visivyo halisi.
Mambo mengi tu yalisemekana ni uchawi zamani hizo ,sayansi ikaja Thibitisha sio uchawi , na ikatolea ufafanuzi wa ufanyaji kazi wake ,nakila mtu akaona ni kawaida tu.Kila jambo lina udhaifu kaka.
HUWEZI thibitisha jambo la sayansi kiuchawi na HUWEZI thibitisha jambo la kiuchawi kisayansi.
Nimekuuliza huko kote kwa waganga alipatiwa matibabu ila hakuweza kupona au aliishia kupiga ramli tu ila hakufanya matibabu?Ndio maana nikasema ikaja gundulika ni kifaa na akapata matibu, ikawaje uchawi na uganga unaosemekana una uwezo mkubwa wasigundue hilo ? Mpaka wakadai ni kulogwa?
Wamaasai wanauza hizi kaka.Hii inapatikana wapii na Mimi ni ichukue..
Huyo mungu ulimuona wapi🤣🤣🤣 Kumbe kumcha Mungu ni Raha sana hakuna kujifichaficha
Ni sahihi mkuu wala halipingiki.Mambo mengi tu yalisemekana ni uchawi zamani hizo ,sayansi ikaja Thibitisha sio uchawi , na ikatolea ufafanuzi wa ufanyaji kazi wake ,nakila mtu akaona ni kawaida tu.