Alipatiwa dawa za kila aina hazikufanya kazi , hatua ya mwisho ndio akashauriwa aende hospital ndio ikagundulika ni kifafa.Nimekuuliza huko kote kwa waganga alipatiwa matibabu ila hakuweza kupona au aliishia kupiga ramli tu ila hakufanya matibabu?
Mpaka hapa tunakubaliana uchawi ni drama?Ni sahihi mkuu wala halipingiki.
Ndio maana nikasema hauwezi Kila kitu ukakipigia ramli hiyo ni BIG NO.
Kwanini uchawi uwe dhana ya kubuni?Kwahiyo uchawi ni dhana ya kubuni isiyopimika?
Longitude na latitude ni contour line zinazopimika kwa devices mbalimbali kus na kas
Uchawi ni dhana potofu inayosingiziwa na kuhusishwa na kusababisha magonjwa na matatizo kwa binadamu bila kuweza kuthibitisha unasababishaje na mechanism zake ni zipi kiufupi ni uongo
And about soul hizo ni imani za kiungu zilizoelezewa kupitia dini kwa hapa siwezi kuzijadili
Huwezi kuthibitisha hoja moja kwa kutumia hoja nyingine huko ni kukwepa hojaKila jambo lina udhaifu kaka.
HUWEZI thibitisha jambo la sayansi kiuchawi na HUWEZI thibitisha jambo la kiuchawi kisayansi.
Kwanini uwe drama?Mpaka hapa tunakubaliana uchawi ni drama?
Mkuu tuweke generalisation pembeni, ninyi mnaoujua uchawi tuelezeni ni nini.Tunaenda taratibu kaka,shida mkiambiwa ithbati yake mnaanza kukataa na kusema kuwa thibitisheni.
Aya na mimi nimemuuliza huyo mwenzako anaweza kuzithibitisha longitude na latitude?
Au anaweza kuithibitisha roho!?
Wewe ndio unakwepa mjadala sikwepi mjadala Wala kuhamisha magoli.Huwezi kuthibitisha hoja moja kwa kutumia hoja nyingine huko ni kukwepa hoja
Unanikumbusha jamaa angu mmoja huwa ukimuuliza "kwanini umekaa?" Anakujibu "kwa sababu sijasimama" hicho ndio unachofanya wewe
Usilete defense mechanism hapa thibitisha kama uchawi upo tuambie mechanism zake, unaonekanaje, tunaupimaje, unahisije au vinginevyo
Acha kutuambia mambo za roho, sijui latitudes na mambo kibao huko nikuhamisha magori kama huwezi thibitisha kaa kimya
Elewa kitu kwanza hakuna anayekataa kwamba mazingaombwe sio michezo na ndio maana nilisema kwamba makaratasi yanaweza kufanywa uone kama ni pesa kumbe ni karatasi tu.N
Ndiyo! Mazingahombwe yote yana behind the scenes maana ni michezo tu Ile kama kombolela
Huo uchawi ni dhana tu haupo naona unazunguuka tu
Kosugi hoja yako ya roho na latitude nimejibu hapa acha kuhamisha magoli kama unataka uthibitisho wa latitudes na sijui roho anzisha mada maalum hapa tunajadili uchawiHuwezi kuthibitisha hoja moja kwa kutumia hoja nyingine huko ni kukwepa hoja
Unanikumbusha jamaa angu mmoja huwa ukimuuliza "kwanini umekaa?" Anakujibu "kwa sababu sijasimama" hicho ndio unachofanya wewe
Usilete defense mechanism hapa thibitisha kama uchawi upo tuambie mechanism zake, unaonekanaje, tunaupimaje, unahisije au vinginevyo
Acha kutuambia mambo za roho, sijui latitudes na mambo kibao huko nikuhamisha magori kama huwezi thibitisha kaa kimya
Ikawaje nao inaosemekana ni wachawi miaka ya nyuma wasigundue kuwa ugonjwa wa ukoma sio kazi yao?Kwanini uwe drama?
Kushindwa kuithibitisha baadhi ya vitu ndio uitwe drama?
Hakuna jibu ulilojibu sahihi hata moja.Kosugi hoja yako ya roho na latitude nimejibu hapa acha kuhamisha magoli kama unataka uthibitisho wa latitudes na sijui roho anzisha mada maalum hapa tunajadili uchawi
Jibu ni kuwa ndiyo kila kitu kinathibitika ili kujua uwepo wake kama hakithibitiki basi hakipo ni uzushi tu haya thibitisha kuwepo kwa uchawi kama huwezi kaa kimya usihamishe magoliWewe ndio unakwepa mjadala sikwepi mjadala Wala kuhamisha magoli.
Wewe si unaenda kwa uthibitisho?
Nimekuuliza unaweza kuithibitisha kila kitu!?
Mbona swali simple sana!?
Logic yake hapo wewe huielewi!?
Wewe usichokielewa hapo ni nini?Elewa kitu kwanza hakuna anayekataa kwamba mazingaombwe sio michezo na ndio maana nilisema kwamba makaratasi yanaweza kufanywa uone kama ni pesa kumbe ni karatasi tu.
Unaweza ukanionyesha behind the scenes za mazingaombwe zile ambazo magicians wanafanyia barabarani katika umati wa watu?
Kesi kama hiyo inawezekana hao waganga hawakuwa wakweli ama walichokiona kupitia ramli ni mbali na hiyo hali aliyokuwa akipitia huyo mgonjwa, hivyo siwezi kuwa na jibu la moja kwa moja.Alipatiwa dawa za kila aina hazikufanya kazi , hatua ya mwisho ndio akashauriwa aende hospital ndio ikagundulika ni kifafa.
OK ikawaje miaka fulani kila mtu mpaka hao wanaodaiwa ni wachawi wenyewe wakadai baadhi ya magonjwa ni nguvu za kichawi? Ikawaje mpka wachawi wenyewe wasiweze zitambua kazi zao? Mfano wa magonjwa Ukimwi, kifafa , ukoma na nkKesi kama hiyo inawezekana hao waganga hawakuwa wakweli ama walichokiona kupitia ramli ni mbali na hiyo hali aliyokuwa akipitia huyo mgonjwa, hivyo siwezi kuwa na jibu la moja kwa moja.
Haya mambo sio mepesi kama unavyofikiri labda uamue tu iwe hivyo, maana hata huko kwa waganga wapo watu wamezunguka sana kwa waganga hadi wamekata tamaa ila mwishoni wanakuja kumpata mganga sahihi ambaye ndio akaweza kuwatibu. Kwahiyo hapo mkuu haya mambo huwezi kutoa hitimisho tu kuwa hakuna uchawi waganga wote waongo au wanachoeleza ni ukweli.
Bado najiuliza kwanini wote walisema kitu kimoja tu kupitia ramli bila kutofautiana?
Noma sanaaaaaaWamaasai wanauza hizi kaka.
Buku 8 tu hadi 12.
Kipindi naenda Zanzibar na kukutana na hawa wazungu mie mwenyewe nilishangaa aah "mzungu masuala ya husda,kijicho na mikosi anaaminije"?
Kwa niliokutana nao wanaamini hivyo sijui kwa wengine.
Kwanza ni dhana,dhana yao imepelekea kujua kuwa kila kitu kinasababishwa kwa nguvu za giza.Ikawaje nao inaosemekana ni wachawi miaka ya nyuma wasigundue kuwa ugonjwa wa ukoma sio kazi yao?
Mkuu kuna vitu huwezi kuthibitisha kwa mfano kuna baadhi ya aina za tiba ambazo huwezi kuzithibitisha jinsi gani zinafanya kazi ila zipo hizo tiba.Jibu ni kuwa ndiyo kila kitu kinathibitika ili kujua uwepo wake kama hakithibitiki basi hakipo ni uzushi tu haya thibitisha kuwepo kwa uchawi kama huwezi kaa kimya usihamishe magoli
Hii kitu mpaka hao inaosemekana ni wachwi waliamini hivyo , ikawaje washindwe tambua kazi zao?Kwanza ni dhana,dhana yao imepelekea kujua kuwa kila kitu kinasababishwa kwa nguvu za giza.
Kumbe sio kila kitu mengine ni sababu zingine.
Uchawi ni suala la imani za nguvu za kiza na kiroho.Mkuu tuweke generalisation pembeni, ninyi mnaoujua uchawi tuelezeni ni nini.
Mistari ya longitude na latitude hizo ni imaginary kuelezea hali fulani sio vitu vya kutilia maanani sana
Tujikite kwenye uchawi hapo, mimi binafsi nataka kujua yafuatayo.
1. Unafanyaje kazi, criteria zake zote
Nataka kufahamu uchawi iki nijijibu swali langu la muda mrefu, waafrika tunasifika sana kwa uchawi kuanzia kwenye ndondo huku mtaani, --- kwanini kimataifa tunakwama?
Na pia tulikwsma vipi kwa bunduki za mkoloni.
Personal experience ya uchawi sijawahi pata ila nausikia, na siuamini kupitia kwa kuusikia kwa sababu ya hayo maswali mawili + general concept ya wstu wasipokua na ufafanuzi wa jambo fulani basi hitimisho ni uchawi.
Kama unamajibu karibu mkuu