Washindwe kutambua kazi zao kivipi mkuu?Hii kitu mpaka hao inaosemekana ni wachwi waliamini hivyo , ikawaje washindwe tambua kazi zao?
Nimekwambia kitu ambacho hakiwezi kuthibitika ni uzushi ikiwemo uchawi ni dhana tu isiyokuwepo na haiwezi kuthibitika kama unaweza thibitisha kama kweli uchawi upoMkuu kuna vitu huwezi kuthibitisha kwa mfano kuna baadhi ya aina za tiba ambazo huwezi kuzithibitisha jinsi gani zinafanya kazi ila zipo hizo tiba.
Hakuna nguvu za kiroho wala nini uongo tu hizo ndio tunaita Imani potofu mtapigwa Sana na mwamposa kwa Imani zenu hizo za kuzushaUchawi ni suala la imani za nguvu za kiza na kiroho.
Suala kama hili linahusisha nguvu za kiroho zisizoonekana kwa macho ya nyama.
Pia ina taratibu zake ambazo huwa zinahusisha kafara za damu,pia Ina miiko yake na mipaka yake.
Kwanza mkuu uchawi ni ujuzi kwa maana kujua kwamba ukifanya hivi na vile hupatikana athari gani hivyo sio lazima hadi uwe mchawi ndio ufanye uchawi, unaweza ukawa mchawi na bado kuna uchawi usiujue.OK ikawaje miaka fulani kila mtu mpaka hao wanaodaiwa ni wachawi wenyewe wakadai baadhi ya magonjwa ni nguvu za kichawi? Ikawaje mpka wachawi wenyewe wasiweze zitambua kazi zao? Mfano wa magonjwa Ukimwi, kifafa , ukoma na nk
Magonjwa mengi yalikuja thibitika ni ya kawaida tu ila miaka ya nyuma kila mtu aliamini ni uchawi ( ikiwemo na wachawi na waganga ) ikawaje wasigundue sio uchawi na wao ni wachawi?Washindwe kutambua kazi zao kivipi mkuu?
Wao kuamini juu ya nguvu za kiza wakajikita na kujiaminisha kuwa kila kitu hutatuliwa na huponywa kwa nguvu za kiza.
Kwa sababu hauelewi hata huo uthibitisho ni nini ndio maana unadhani uthibitisho unafanya jambo au kitu kiwepo.Nimekwambia kitu ambacho hakiwezi kuthibitika ni uzushi ikiwemo uchawi ni dhana tu isiyokuwepo na haiwezi kuthibitika kama unaweza thibitisha kama kweli uchawi upo
Mie msomi kuliko unavyodhani pia sio mkristo huwa siamini juu ya maombi ya mtu bali naamini juu ya kujiombea mwenyewe.Hakuna nguvu za kiroho wala nini uongo tu hizo ndio tunaita Imani potofu mtapigwa Sana na mwamposa kwa Imani zenu hizo za kuzusha
Ukishaamini katika jambo moja na kugundua kuwa ndio Suluhu ya kila kitu HUWEZI ukagundua udhaifu wa hiyo njia yako wala mipaka ya njia yako.Magonjwa mengi yalikuja thibitika ni ya kawaida tu ila miaka ya nyuma kila mtu aliamini ni uchawi ( ikiwemo na wachawi na waganga ) ikawaje wasigundue sio uchawi na wao ni wachawi?
Kwahiyo umeshindwa kuthibitisha kuwepo kwa uchawi?Kwa sababu hauelewi hata huo uthibitisho ni nini ndio maana unadhani uthibitisho unafanya jambo au kitu kiwepo.
Ndio maana tunakuambia uchawi ni dramaKwanza mkuu uchawi ni ujuzi kwa maana kujua kwamba ukifanya hivi na vile hupatikana athari gani hivyo sio lazima hadi uwe mchawi ndio ufanye uchawi, unaweza ukawa mchawi na bado kuna uchawi usiujue.
Halafu mkuu nimezungumzia hapo kuhusu ukimwi kwamba ni ugonjwa wenye utata na ndani yake kuna mitazamo isiyo sahihi ambayo watu wanaaminishwa kuhusu ukimwi na hawa wataalamu wetu ila naona unapotezea wewe unaona waganga tu ndio walikuwa na mitazamo potofu kuhusu ukimwi.
Akijibu unitagNdio maana tunakuambia uchawi ni drama
Elezea utata wa ukimwi ukihusisha na uchawi.
Hivyo tumekubaliana uchawi upo kichwani kwa muamini tu?Ukishaamini katika jambo moja na kugundua kuwa ndio Suluhu ya kila kitu HUWEZI ukagundua udhaifu wa hiyo njia yako wala mipaka ya njia yako.
Yani unaamini movie ni ukweli? Wewe utakuwa msomi wa madrasa bila shakaMie msomi kuliko unavyodhani pia sio mkristo huwa siamini juu ya maombi ya mtu bali naamini juu ya kujiombea mwenyewe.
Na nayoeleza nimewahi kuyafanya na kuyashuhudia.
Am Muslim sio mkristo mimi.
Nenda kaitafute movie inaitwa Veronica ya wahispania binti aliyepotea kwa mazingira yakutatanisha Hispania karne hii hii ya 21 miaka hii hii ya 2010s.
Utaamini kama nguvu za kiroho zipo au hazipo.
Kwanini nihusishe na uchawi wakati huo ukimwi una utata kutokea huko kwenye sayansi wanasayansi na madaktari hutofautiana kuhusu ukimwi ila wewe hautaki kusikia hili unaona waganga tu ndio wana imani potofu au waongo kuhusu ukimwi.Ndio maana tunakuambia uchawi ni drama
Elezea utata wa ukimwi ukihusisha na uchawi.
Ingekuwa hivyo mkuu hadi leo kusingekuwa na watu wenye kwenda kwa waganga ili kuroga wenzao, kwa maana wasingekuwa wanapata matokeo waliyokusudia.Hivyo tumekubaliana uchawi upo kichwani kwa muamini tu?
Nyie ndio masheikh mnao waibia waumini na huharibu taswira ya diniMie msomi kuliko unavyodhani pia sio mkristo huwa siamini juu ya maombi ya mtu bali naamini juu ya kujiombea mwenyewe.
Na nayoeleza nimewahi kuyafanya na kuyashuhudia.
Am Muslim sio mkristo mimi.
Nenda kaitafute movie inaitwa Veronica ya wahispania binti aliyepotea kwa mazingira yakutatanisha Hispania karne hii hii ya 21 miaka hii hii ya 2010s.
Utaamini kama nguvu za kiroho zipo au hazipo.
Sayansi ina mapana yake na haipo kwenye kifungo cha kutobadilika.Kwanini nihusishe na uchawi wakati huo ukimwi una utata kutokea huko kwenye sayansi wanasayansi na madaktari hutofautiana kuhusu ukimwi ila wewe hautaki kusikia hili unaona waganga tu ndio wana imani potofu au waongo kuhusu ukimwi.
Kama wenye kutumia sayansi wanatofautiana kuhusu ukimwi kwanini unataka ionekane waganga tu ndio waongo?
Kwenye kwa waganga sio tatizo hata zamani watu walienda kupiga rasmi wakihisi kifafa ni majini na kulogwa.Ingekuwa hivyo mkuu hadi leo kusingekuwa na watu wenye kwenda kwa waganga ili kuroga wenzao, kwa maana wasingekuwa wanapata matokeo waliyokusudia.
Unachotaka wewe ni uthibitisho ila kuhusu kuwepo uchawi ushaambiwa sana kuwa upo.Kwahiyo umeshindwa kuthibitisha kuwepo kwa uchawi?
Uchawi kuwepo kichwani kwa muamini ama kutokuwepo haimaanishi kuwa haupo.Hivyo tumekubaliana uchawi upo kichwani kwa muamini tu?