Tatizo la utata kwenye ukimwi sio sayansi yenyewe bali watu ndio wanaaminisha watu yasio ya kweli kuhusu ukimwi ambapo ni kinyume na sayansi.Sayansi ina mapana yake na haipo kwenye kifungo cha kutobadilika.
Ndio maana nakutaka uthibitishe ya kua ukimwi ni ugonjwa wa kulogwa kama walivyo kua wanaamini watu africa ikiwemo na wanaosemekana ni wachawi pia.
Kwahiyo mtu kwenda kwa mganga ndio ithbati kuwa uchawi upo?Ingekuwa hivyo mkuu hadi leo kusingekuwa na watu wenye kwenda kwa waganga ili kuroga wenzao, kwa maana wasingekuwa wanapata matokeo waliyokusudia.
Huyo nishamu ignore.Unachotaka wewe ni uthibitisho ila kuhusu kuwepo uchawi ushaambiwa sana kuwa upo.
Kuambiwa sana sio njia ya kuonyesha kitu kipo , zamani hizo ilisemekana kifafa ni kupandwa na pepo na ikaja thibitika ni ugonjwa wa kawaida tuUnachotaka wewe ni uthibitisho ila kuhusu kuwepo uchawi ushaambiwa sana kuwa upo.
Kabla ya kusoma hii page ndefu yenye maneno ya kizungu kwanza sijawahi sema popote nawaamini wazungu 🤔Uchawi kuwepo kichwani kwa muamini ama kutokuwepo haimaanishi kuwa haupo.
Ni sawa na useme mimi namuamini Mungu wewe humuamini hai justify kuwa Mungu hayupo.
Ningeomba uisome hii kesi mkuu.
Halafu sema wewe hapa umeelewa nini.
Hao ni wazungu mnaowaamini sana.
Hata kipimo cha AUTOPSY kimeshindwa kugundua huyo binti alikufa na nini.
Vimefanyika vipimo vikubwa ila hakuna hata kimoja kilicholeta majibu kwanini binti alikua anaumwa na kuvurugukiwa akili na kutokwa na mapovu mdomoni.
View attachment 3446962View attachment 3446963View attachment 3446964View attachment 3446965
Uchawi haupo nani kasema kuwa uchawi upo?Unachotaka wewe ni uthibitisho ila kuhusu kuwepo uchawi ushaambiwa sana kuwa upo.
Ndio maana nikasema watu kutaja sana uchawi sio sababu ya kuthibitisha upo 🤔 binadamu tuna kawaida ya kuviweka vitu tusivyo na majibu nayo upande wa nguvu fulani kama nadharia tu🤔Tatizo la utata kwenye ukimwi sio sayansi yenyewe bali watu ndio wanaaminisha watu yasio ya kweli kuhusu ukimwi ambapo ni kinyume na sayansi.
Yani hizi zote ni ngonjera kama mnazotupa nyie hapa maneno tu bila uthibitishoUchawi kuwepo kichwani kwa muamini ama kutokuwepo haimaanishi kuwa haupo.
Ni sawa na useme mimi namuamini Mungu wewe humuamini hai justify kuwa Mungu hayupo.
Ningeomba uisome hii kesi mkuu.
Halafu sema wewe hapa umeelewa nini.
Hao ni wazungu mnaowaamini sana.
Hata kipimo cha AUTOPSY kimeshindwa kugundua huyo binti alikufa na nini.
Vimefanyika vipimo vikubwa ila hakuna hata kimoja kilicholeta majibu kwanini binti alikua anaumwa na kuvurugukiwa akili na kutokwa na mapovu mdomoni.
View attachment 3446962View attachment 3446963View attachment 3446964View attachment 3446965
Hizi ni kama shuhuda za mwamposa tu maneno tupuUchawi kuwepo kichwani kwa muamini ama kutokuwepo haimaanishi kuwa haupo.
Ni sawa na useme mimi namuamini Mungu wewe humuamini hai justify kuwa Mungu hayupo.
Ningeomba uisome hii kesi mkuu.
Halafu sema wewe hapa umeelewa nini.
Hao ni wazungu mnaowaamini sana.
Hata kipimo cha AUTOPSY kimeshindwa kugundua huyo binti alikufa na nini.
Vimefanyika vipimo vikubwa ila hakuna hata kimoja kilicholeta majibu kwanini binti alikua anaumwa na kuvurugukiwa akili na kutokwa na mapovu mdomoni.
View attachment 3446962View attachment 3446963View attachment 3446964View attachment 3446965
Hata zamani kulikua na watu wa tiba asili wanaweza kung'amua huu ugonjwa huu ni ushirikina.Kuambiwa sana sio njia ya kuonyesha kitu kipo , zamani hizo ilisemekana kifafa ni kupandwa na pepo na ikaja thibitika ni ugonjwa wa kawaida tu
Basi sawa niwie radhi.Kabla ya kusoma hii page ndefu yenye maneno ya kizungu kwanza sijawahi sema popote nawaamini wazungu 🤔
Kiuhalisia sio kila kitu kina majibu na kinaweza kuthibitika kisomi.Ndio maana nikasema watu kutaja sana uchawi sio sababu ya kuthibitisha upo 🤔 binadamu tuna kawaida ya kuviweka vitu tusivyo na majibu nayo upande wa nguvu fulani kama nadharia tu🤔
Ambavyo havijathibitika hatuwezi kusema tu ni uchawi , huenda tukibaki kwenye hiyo dhana tukakosa fumbuzi za kutatua tatizo , ebu fikira kama ukoma na kifafa watu wangebaki kuamini ni uchawi tu mpaka leo?Kiuhalisia sio kila kitu kina majibu na kinaweza kuthibitika kisomi.
Huo ndio ukweli mkuu.
Kwahiyo tiba za miti shamba ndio uchawi?Hata zamani kulikua na watu wa tiba asili wanaweza kung'amua huu ugonjwa huu ni ushirikina.
Mie nina kitabu cha miaka ya 1960s ambacho babu yangu alinipatia kabla hajafariki.
Kina dawa za tiba asili za Kila ugonjwa hadi kifafa na magonjwa jumuishi ambayo hayaeleweki.
Na pia kuna dawa za kumtibu mtu magonjwa ya kiza kwa mitishamba hiyo hiyo.
Kimeandikwa kwa kiarabu.
Ambao walioamini kuwa ni uchawi ni wale ambao walijikita hapo peke yake.Ambavyo havijathibitika hatuwezi kusema tu ni uchawi , huenda tukipaki kwenye hiyo dhana tukakosa fumbuzi za kutatua tatizo , ebu fikira kama ukoma na kifafa watu wangebaki kuamini ni uchawi tu mpaka leo?
Ndo mwisho wa maelezo au utakuja kuendelea mkuu?Uchawi ni suala la imani za nguvu za kiza na kiroho.
Suala kama hili linahusisha nguvu za kiroho zisizoonekana kwa macho ya nyama.
Pia ina taratibu zake ambazo huwa zinahusisha kafara za damu,pia Ina miiko yake na mipaka yake.
Mkuu kuna maelezo gani mengine unayahitaji?Ndo mwisho wa maelezo au utakuja kuendelea mkuu?
Stori za namna hii kwa kusikia ni kweli tunasikia sana, kipengele kinakuja kwenye kuhakikiBasi sawa niwie radhi.
Basi soma hii Vallecas case ambayo inspector wa polisi anaandika katika upepelezi wake kwa mara ya kwanza ameona vitu vikisogea na vikivutwa kwa nguvu isiyoonekana.
Nimekupata mkuuMkuu kuna maelezo gani mengine unayahitaji?