Ndio haufanyi kutokuwepo ila anae dai upo maana yake ana uthibitisho wa hilo jambo ambalo mwanzoni halikuwahi Thibitishwa ila lilikuwepo.Usichoelewa hadi sasa na ndio kinakupa shida ni kwamba uthibitisho haufanyi jambo kuwepo.
Kuamini au kuto amin ni haki ya kila mtuHaya umeshinda.mimi ngoja niendelee kumwamini huyu Mungu wangu aliyemwema kwangu sikuzote.🙏
Kwa maeneo hayo lazima wafiche,labda mwenza wako aweza kuonyesha,lkn napo inategemea!! 😄Wapigwa chale wanaficha kwani?
Sasa akisema mwambie akuonyeshe ili upate uhakika, maana mtu mwingine anaweza kua anataka tu kuwatisha,mkae na woga mda wote.Wanaongea bhana,...utasikia "Leo nimekula viwembe vya matako balaa"
Kwahiyo kumbe hadi sasa karne na karne hakuna uchunguzi uliyofanyika kuhusu uchawi ila kuna watu wanapinga tu uchawi kwa nguvu zote?Tuambie wewe uliofanya uchunguzi ukajua kuwa kuna uchawi ulitumia kifaa gani?
Wewe umejuaje kuwa kuna uchawi?Kwahiyo kumbe hadi sasa karne na karne hakuna uchunguzi uliyofanyika kuhusu uchawi ila kuna watu wanapinga tu uchawi kwa nguvu zote?
Sasa kama unakubali kwamba uthibitisho hautanyi jambo kuwepo mbona mnasema hakuna uchawi kwa sababu hakuna uthibitisho?Ndio haufanyi kutokuwepo ila anae dai upo maana yake ana uthibitisho wa hilo jambo ambalo mwanzoni halikuwahi Thibitishwa ila lilikuwepo.
Naomba hii tuendelee siku nyingine now nimesha lewa😊Sasa kama unakubali kwamba uthibitisho hautanyi jambo kuwepo mbona mnasema hakuna uchawi kwa sababu hakuna uthibitisho?
Kudai kitu ni jambo moja ila kuweza kuthibitisha hicho unachodai ni jambo lengine, na ndio maana zipo tiba za mitishamba ambazo waafrika tunatumia kutibu maradhi mbalimbali ila hadi sasa hakuna uthibitisho wenye kuweza kuthibitisha ni kwa jinsi gani hiyo mitishamba ni kwa vp inatibu hayo maradhi, wenzetu pia wana wana tiba ambazo hazijathibitika kisayansi ila wanazitumia kama energy healing. Mfano Reiki, crystal healing, chakra healing, healing touch n.k
Nishawahi kutolea mfano kuhusu meditation nikasema sayansi imekuja kueleza faida za meditation kisayansi juzi tu ukilinganisha na hiyo meditation yenye watu wameanza kupractice thousands of years ago.
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Naishi kwenye jamii ambayo watu wana practice huo uchawi, kwa maana katika mambo yanayotuzunguka na kukumbana nayo ni pamoja na huo unaoitwa uchawi.Wewe umejuaje kuwa kuna uchawi?
Sasa kumbe hizo changamoto zinahusishwa bila ushahidi huoni kwamba wanakuaminisha uwongoNimeshuhudia watu wangu wa karibu wakipitia changamoto zenye kuhusishwa na uchawi
Nani sasa ananiaminisha? Nimetumia hilo neno kuhusishwa kwa maksudi ili kuachia nafasi kwamba pengine unaweza ukatoa maelezo ya kina kuonyesha kuwa haikuwa uchawi hicho nilichoshuhudia na kilikuwa ni nini badala yake.Sasa kumbe hizo changamoto zinahusishwa bila ushahidi huoni kwamba wanakuaminisha uwongo
Sasa nitoe maelezo hizo changamoto za huyo jamaa yako mimi nazijua? Au ni ukimwi aende akapime?Nani sasa ananiaminisha? Nimetumia hilo neno kuhusishwa kwa maksudi ili kuachia nafasi kwamba pengine unaweza ukatoa maelezo ya kina kuonyesha kuwa haikuwa uchawi hicho nilichoshuhudia na kilikuwa ni nini badala yake.
Nimekwambia nilikuwa nao mwanzo hadi mwisho wanapona changamoto zao sasa unasema wameniaminisha ndio nakuuliza nani kaniaminisha hao jamaa zangu au hao wataalamu na kwa sababu ipi hadi wafanye hivyo?Sasa nitoe maelezo hizo changamoto za huyo jamaa yako mimi nazijua? Au ni ukimwi aende akapime?
Alooh yani wewe kwa kukimbia hoja ni balaa kitu umesema mwenyewe unakipindisha
Yani hizo changamoto za rafiki ako umezishudia wewe na hujazisema ila maelezo nitoe mimi kuwa ni kitu gani kama sio uchawi?🤣🤣🤣Nimekwambia nilikuwa nao mwanzo hadi mwisho wanapona changamoto zao sasa unasema wameniaminisha ndio nakuuliza nani kaniaminisha hao jamaa zangu au hao wataalamu na kwa sababu ipi hadi wafanye hivyo?
Sitegemei kwamba nilichoeleza ndio iwe uthibitisho wa uchawi hapa bali nimeeleza tu ambayo nimewahi kukutana nayo kuhusiana na uchawi hivyo sio story ambazo nimezisikia tu.
Ningependa kujua kwa upande wako ni yapi uliwahi kukutana nayo yenye kudaiwa ni uchawi ila ukaweza kugundua haikuwa uchawi?