Nilishakupa angalizo maana najua utaleta maelezo sio majibuSipo hapa kujibu tu maswali yako sio chumba cha mtihani hiki, nishajua nilikuwa nabishana na mtu kwa kitu ambacho hakijui. Subiri ukuwe ukutane na kesi za uchawi ndio uje kubishana hapa.
Asubuhi njema.
Umeng'ang'ana uchawi upo halafu huujui upoje🤣🤣🤣🤣Sipo hapa kujibu tu maswali yako sio chumba cha mtihani hiki, nishajua nilikuwa nabishana na mtu kwa kitu ambacho hakijui. Subiri ukuwe ukutane na kesi za uchawi ndio uje kubishana hapa.
Asubuhi njema.
namshukuru muumba ndugu yanguNishajibiwa mkuu... umeamkaje lakini?
AMINA KubwaBarikiwa sana