🤣🤣🤣🤣Kipindi nipo chuo kuna jamaa aliwahi nisingizia kama mimi mchawi et kisa nilikua natembea na mdada flan hv wa mwaka wa 4 telecom kipindi hiko mimi niko first year..
Ila kwa sasa naweza sema mi ni mchawi kwa hawa mashangazi...
Uchawi upo kama mimi naweza kukuambia uchawi naotumia kuwala mashangazi na maajabu ya majinya godogodo ...
Leo naweza toa siri ipo hvi..
Uchawi upo wa tofauti tofauti ila mi wangu ni wa mitishamba
Kwa Yesu ni burudahYeah indeed.....😚
😂😂😂😂Sawa nitakushtua aisee,nimeona jamii forums Kuna aina zote za tabia...sasa at least hawa watu watusanue
Nakubaliana na wewe hakuna cha uchawi wala nini,kuna Mbaba anajulikana ni chuma ulete,siku kaja dukani nikachukua hela kiasi nikazihesabu nikazitenga alivyonipa hela Yake nikachanganya na zile nilizohesabu,mwenyewe mbwembwe kibao,nikamrudishia chenji hataki nimpe mkononi anataka niweke juu ya meza ndo achukue🤓🤓🤓🤓🤓Uchawi ni drama tu za kijinga
Kitu watu wasichokijua ni kuwa ukiamini sana kitu , ubongo unao uwezo wa kukuletea mauza uza ,ukaona kama ni kitu halisi, hasa unapojenga hofu.Naam, unafanya kazi kwenye simulizi tu
Kwanza unatakiwa kujitambulisha wewe ni msukule wa nani ? Mwamposa au gamanywa au zumaridi😕Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Utakuwa wewe ni KE nilipoona neno "Mbaba"Nakubaliana na wewe hakuna cha uchawi wala nini,kuna Mbaba anajulikana ni chuma ulete,siku kaja dukani nikachukua hela kiasi nikazihesabu nikazitenga alivyonipa hela Yake nikachanganya na zile nilizohesabu,mwenyewe mbwembwe kibao,nikamrudishia chenji hataki nimpe mkononi anataka niweke juu ya meza ndo achukue🤓🤓🤓🤓🤓
Nikasema Acha nishuhudie maajabu Kesho hela ziyeyuke🤓🤓🤓🤓 Kesho Yake nafungua hela zipo vilevile na Yake ipo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chuma ulete ingekua kweli bank zingefunga ofisi 🤣Nakubaliana na wewe hakuna cha uchawi wala nini,kuna Mbaba anajulikana ni chuma ulete,siku kaja dukani nikachukua hela kiasi nikazihesabu nikazitenga alivyonipa hela Yake nikachanganya na zile nilizohesabu,mwenyewe mbwembwe kibao,nikamrudishia chenji hataki nimpe mkononi anataka niweke juu ya meza ndo achukue🤓🤓🤓🤓🤓
Nikasema Acha nishuhudie maajabu Kesho hela ziyeyuke🤓🤓🤓🤓 Kesho Yake nafungua hela zipo vilevile na Yake ipo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukisha jenga imani ya kitu ukaweka na hofu ndio umekwisha, nakumbuka kipindi cha nyuma nilisha fanya jaribio moja la kutamka yesu yesu yesu kwa mda kama wa masaa matatu nikaona napaa mawinguni kumbe ni fix za ubongo tu.Nakubaliana na wewe hakuna cha uchawi wala nini,kuna Mbaba anajulikana ni chuma ulete,siku kaja dukani nikachukua hela kiasi nikazihesabu nikazitenga alivyonipa hela Yake nikachanganya na zile nilizohesabu,mwenyewe mbwembwe kibao,nikamrudishia chenji hataki nimpe mkononi anataka niweke juu ya meza ndo achukue🤓🤓🤓🤓🤓
Nikasema Acha nishuhudie maajabu Kesho hela ziyeyuke🤓🤓🤓🤓 Kesho Yake nafungua hela zipo vilevile na Yake ipo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂Sawa nitakushtua aisee,nimeona jamii forums Kuna aina zote za tabia...sasa at least hawa watu watusanue
Mkuu nasubiri ruhusa yako na mimi nijitokeze, witches of JF mmni kigagula wako😁Kwani imekuajee jamaniii? Ukifika kwa wataalamu na Waganga wa kienyeji nistue.
Mkuu Siku zote unajua Mimi mwanaume?Utakuwa wewe ni KE nilipoona neno "Mbaba"
Hakika mkuu, kichws ujikijaza wenge unaona wengeKitu watu wasichokijua ni kuwa ukiamini sana kitu , ubongo unao uwezo wa kukuletea mauza uza ,ukaona kama ni kitu halisi, hasa unapojenga hofu.
Nikiwa nasoma tulikua tunakatisha usiku makaburini kwenda kucheki mpira , mkiwa wachache na wenye hofu kubwa , ubongo ulikua unatuliletea mauza uza ya ajabu, ila ukiwa jasiri au wengi hiyo hali haitokei.
Hofu na imani kali , hata ukila mtu akakutazama tu , ukijenga hofu lazima uharishe mbayaWachawi,waganga,manabii WA miujiza wote hao matapeli tupu!!
Wachawi,waganga,manabii WA miujiza wote hao matapeli tupu!!
Nitachangia nikimaliza novena 😂😂Wee, ilikuwaje? Ulipatajepataje mkuu?
Hudhuriki? Hujisikii vibaya kupaa kwenye baridi wakati wenzio tumejifunika blangeti?
Mnasemaga hv hvo et "" sawa namuachia mungu.. *"""" kumbe unaenda kulogaUkiachana na uchawi Mimi MTU akiniibia au kunifanyia jambo baya lazima akutane na changamoto itayomfanya aanze kuhusi nimemroga.
Hapana mkuu sijawahi kufatiliaMkuu Siku zote unajua Mimi mwanaume?
Akaribie kwedikwazo Kijiji Cha mazongo;; ndiyo ajue hajuiWee njoo tu au nenda uziguani kasalimie ukakutane na wanguu kule wakusalimie mtoto wa mikoa ya Bara