Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Wapi kwingine ushawasikia wanatoa elimu yao?
 
Chuma ulete ingekua kweli bank zingefunga ofisi 🀣

Ukisema hivyo wanakwambia bank ndo kuna uchawi mkubwa zaidi --- muasisi wa hizi theory sjui ni nani
Utasikia eti bank kuna mazindiko🀣🀣🀣🀣🀣
Mazindiko yatoke wapi,Kila siku mabenk yanazinduliwa tunaona kwa macho,wajinga ndio waliwao!!
 
Yaan wewe,sijui dhambi gani huifanyi🀣🀣🀣
 
Hakika mkuu, kichws ujikijaza wenge unaona wenge
Manyara kuna mlima watu walidai kuna uchawi eneo fulani , miaka ya 2000 hivi ukipanda ukafika hilo eneo unakuwa kama umechanganyikiwa na kupoteza kumbukumbu na mauza uza , watu wakadai mlima wa wachawi.

Ikaja gundulika kulikua ni aina fulani ya uyoga, ukipukutisha unga wake , inakua kama kilevi na kuvuruga akili na kuleta illusion za ajabu
 
Utasikia eti bank kuna mazindiko🀣🀣🀣🀣🀣
Mazindiko yatoke wapi,Kila siku mabenk yanazinduliwa tunaona kwa macho,wajinga ndio waliwao!!
Hakika aisee,pesa utumie vibaya wewe then usingizie mazindiko🀣🀣
 
Yaan wewe,sijui dhambi gani huifanyi🀣🀣🀣
Mi siuwi kwa kweli....
Japo kuna dogo flan mda wa mshenyento et alikua anasema "*kill me kill me kill me""" ila nikasema siwezi muua mtu ni dhambi hiyo
 
🀣🀣🀣🀣Kwanini usiwe comedian wa kulipwa mkuu?
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Niache 2 yeye
Nache kwanza tufanye yameisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…