Hebu tuambiane jambo/mambo ambayo hayana ulazima kwenye mchakato wa kutongoza.
Jamaa yangu ametengwa na wanaume wenzake hapa mtaani kwa tabia yake mbovu ya kutongoza wake za rafiki zake. Huku wakijua ni rafiki Yao wanamsimulia matukio muhimu ya michepuko waliyonayo.
Jamaa akitoka anaenda kuwatongoza wake za rafiki zake kwa kuwafungukia zile Siri zote anazozifahamu kuhusu waume zao.
Kwa mfano"unanikataa wakati mumeo anatembea na flani bin flani na amemfanyia moja, mbili tatu" .
Najiuliza Kuna ulazima wowote wakutongoza kwa kuanika Siri za mwanaume mwenzio?