Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuwa mkakamavu wa mwili lakini akili mdebwedo tu.Afu huwez amini ni mjeshi katika moja ya majeshi tunayoyaheshimu hapa nchini
Hizi HAPANA nimezikubali mkuuUnaweza kuwa mkakamavu wa mwili lakini akili mdebwedo tu.
Jando linafinyanga wanaume wajitambue na waijue miiko yao.
Kutongoza shemeji, ama ex wa mshikaji ni HAPANA!
Kushusha wanaume wenzako ili ujipandishe ni HAPANA!
Na HAPANA nyingine nyingi...