The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Wana harakati habarini wote.
Jana kijua kilitoka kidogo ikabidi nitoke niote jua nje kidogo maana nilikuwa nimetulia house siku nzima sikwenda job. Sasa nikiwa nasukuma draft na jamaa wawili watatu wa kunipita umri kama kaka hivi.
Wakati tuna tia stori mmoja akawa anatujuza anapenda mke wake anavo leta mazaga home hata kama kuna danga lina mtoa na kumla ila hataki kujua hilo, kwa hiyo anadai mke wake anamkosha na eti kuna muda ndani wakiwa anamwambia hili danga linajua kuhonga so asidange na masela, nikacheka sana huku nataka mwambia broh je akidanga halafu akiombwa kwa mpalange atoe, sema nikasita mwambia.
Dah! Wanaume duuh tuendelee kuheshimu madanga za wake zetu maana ndiyo yanatupa kushiba pale tunapo kuta mboga saba afu asubuhi tuliacha buku au hatukuacha kabisa. 😂😅 Siku akipata bwana wa kizungu atoe kwa mpalange maana amna namna, afu home unamruhusu asirudi mapema.
Hii kitu ni ngumu sana lakini ndio ishakuwa hivyo.