Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
WajengeAah! Watoto wa kishua hao
Jenga acha kuhangaika nyumba walizojenga wanaume wenzioAnha umemalizia chumba na sebule umekuja kuwasimanga wanaJF.
Jenga we mzee umri umekwendaHuu uzi umeandikwa na mtoto. Au mtu mzima mwenye akili za kitoto
Jenga we mzeeAcha tujenge fremu kwanza tupige mpunga...
NishajengaJenga acha kuhangaika nyumba walizojenga wanaume wenzio
Hujajenga weweNishajenga
Umepagawa wee Jenga umri imeenda huoWana Arsenal mpunguze mihemko!
Sawa.Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee
Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga