Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

Hujafa hujaumbika unaweza kujenga una miaka 30 lakini kwenye hiyo nyumba usiishi kwa miaka 30 lolote laweza kutokea kufa au kupigwa mnada kwasababu ya madeni, maisha hayana mtu aliye wahi au kuchelewa ni wewe na fikra zako potofu.
 
Jenga we mzee hapa hamna maneno ya kufarijiana ni kuambiana ukweli
 
Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee

Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga
Njoo hapa marekani nimestaafj na bado tumepanga
 
Mkuu kwa sasa acha tubanane nyumba za Msajili wa Majumba, hela ya kujenga imewekezwa kwenye uchumi wa fremu na bajaj...

Hizi nyumba hatuwezi waachia magabacholi toka India waishi, wakati sisi wazawa tupo hapa hapa...
Huwa nasema vijana tujenge uchumi kwanza, hii cycle ya nyumba gari sio tishio Kwa zama hizi.
 
Jenga we mzee hapa hamna maneno ya kufarijiana ni kuambiana ukweli
Tatizo huyajui maisha umekurupuka sana kuweka hii thread hapa jamiiforum yaani watu wenye experience wanakuona u mtoto ambaye hana exposure hata kama una umri mkubwa; by the way Nina nyumba za kawaida 7 na ghorofa tatu, ghorofa la nne lipo under construction nimeanza kujenga nyumba yangu ya kwanza nikiwa na miaka 45.
 
Back
Top Bottom