slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 688
- 701
Unejenga kibanda unaita nyumba unazijua nyumba wwJenga we mzee acha ujinga
Unejenga kibanda unaita nyumba unazijua nyumba wwJenga we mzee acha ujinga
Kwaiyo umeamua kunitukana sio 😃😃aina shida Ngoja utafikia TU umri huoHivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee
Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga
Jenga we mzee acha kuhangaika kwenye nyumbaHatujiui mkuu, Licha ya kuwa na umaskini mkali lakini bado maisha matam
Na nijizili nijenge makorokoroni ili iweje? Acha niendelee kupanga Town maisha yenyewe mafupi haya
Jenga we mzee acha ujingaUnejenga kibanda unaita nyumba unazijua nyumba ww
Jenga we mzee acha kuhangaikaYaani nitoe hela yangu kununua michanga?
Kujenga ni upuuzi.
Wekeza hela kwenye biashara.
Mkuu, Kuna mzee kila akiongea na watoto wake lazima aseme unajua hamna kwenu? anataka waungane wamjengee maana kachoka kuhama hama na kujenga hawezi tena umri umeenda cement nondo ipo juu. Nadhani ujanani alikuwa na hizi akili.Unajengaje ukiwa chini ya 45yrs Mkuu?, ndio maana ni ngumu sana jamiu zetu kukata mizizi ya umasikini.
Ukijenga makazi ina maana umeamua kubaki hapo hapo ulipojenga. Sasa kama unayataka mafanikio ya kudumu inabidi miaka chini ya 45 unatakiwa uwe angalau umeishi kanda zote za hii nchi, na hata nje ya hii nchi pia.
Anyway, kila mtu na lake. Pesa inatakiwa kuzunguka sio kufukiwa.
Dunia tunapita sasa yanini nijenge njiani?Ila nusu albino Half american amesha Jenga, sijui ita kuwaje 😁
Ya nini upande mchungwa nyumbani, ikiwa dunia ni njiani 😁😂Dunia tunapita sasa yanini nijenge njiani?
Mi sijajenga ila n saidia fundiYa nini upande mchungwa nyumbani, ikiwa dunia ni njiani 😁😂
Wewe je una nini mpaka sasaHivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee
Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga
Tena huyu atakuwa kajenga hombozaAnha umemalizia chumba na sebule umekuja kuwasimanga wanaJF.
Ni nan alokwambia miaka 30 ni baba zima? We mtoto fala kwel wacha ushogaHivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee
Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga
Tuwekee picha yake tumuone tumjadili vizuri.Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee
Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga
Jenga we mzee acha ujinga umezeekaUkijenga wewe inatosha, kujenga sio mafanikio, ndiomaana nyumba haikuongezei chochote zaidi ya sifa kwa washamba wenzio.
Mwenye ndoto ya kujenga na ajenge na asiyetaka acha apange, hata hivyo nyumba bado ni nyingi sana kama kila mtu ataamua kujenga tutasababisha balance ya mzunguko wa hela ipungue kwa wanaotegemea pango😅, acheni ujinga kupanga kuna raha yake hasa siku za kulipa kodi zikikaribia na mfukoni hapaeleweki.
Hata hivyo kwa Tanzania hapa wengi hamjengi bali mnachafua ardhi kwa kukusanya udongo na vifaa vya ujenzi, kiufupi mnaharibu taswira nzima ya miundombinu, nyie mnaojenga baadae mnaipa kazi ngumu serikali ktk suala la mipango miji sababu ya wingi wa vichuguu vyenu visivyopangilika, tafuteni pesa kwanza ndipo mjenge majumba ya ndoto zenu na ndoto za miundimbinu+ taswira nzuri ya mipangilio ya miji.