Watu wanapanga kwa sababu pia za position...mimi ninanyumba 7 ila nimepangisha na ninayo ishi mwenyewe siyo yangu nalipa kodi kwa sababu ya position ya kazi ....usidhani waliopanga flemu kkoo na kilipa hadi milioni 2 kwa mwrzi awawezi kujenga flemu mitaani tatizo position...pia kujenga kuna mahesabu ya uchumi wa taifa kwa tanzania wengi ni masikini sana hata wakijenga wana jenga uchafu tu siyo nyumba haswa ni kuchezea cement bure ...tatizo ni serikali pumbavu ya ccm watu walitakiwa kujenga kwa kutumia app za simu tu na serikali kutoa motisha ukinunuatofari moja unapewa moja na serikali vyote vinafanyika kieletroniki kisha unapewa nyumba ...kwa sasa tz tunajenga slam