Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

MLETA MADA NA UJINGA
Screenshot_20250515-101209_Instagram Lite.jpg
 
Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee

Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni wazee jengeni mtafia kwenye upangaji
Masikini utamjua tu!
 
Kuna shoga angu alisemaga haiwezekani afikishe 30yrs bila kumiliki kiwanja au nyumba now ana 30yrs hana hata kiwanja.
 
Back
Top Bottom