Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

Ndg zanguni hata ukijenga mjengo wako usiogope kupanga kulingana na mazingira yako yanavyo kutaka!!
 
Ndg zanguni hata ukijenga mjengo wako usiogope kupanga kulingana na mazingira yako yanavyo kutaka!!
Kabisa iyo kuna watu wana mijengo lakini wameamua kupanga kwasababu ya kuokoa muda pamoja na gharama inabidi apange ili awekalibu na maokoto yake
 
Uzi umeandikwa

Na mtoto. Ndio maana anawaita vijana wa miaka 30 wazee
Kijana wa miaka โ€œ30โ€ mwenye uwezo na kujitambua na mwenye kujua kupambana kutafuta pesa kama amejenga basi hajajenga nyumba, ana hekaluโ€ฆ na huwezi kumkuta anazungumza matapishi ya namna hii kama ya huyu dogo hapa mtandaoni.

Amekamilisha kakibanda kake ka vyumba viwili na sebule ya ngama huko vigwaza, chanika au samvu la chole njia ya kuelekea kusini mbagala mbele kule mkuranga hata network hamna basi ukoo unamkoma na bodaboda wenzake mtaani akili zitawakaa sawaโ€ฆ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Aende mbweni akaone vijana wenzake waliojenga mahekalu na hawana kelele wala kashfa dhidi ya vijana wenzao mitandaoni na LIVE LIVE wanaohangaikia kuweka sawa hali zao za kimaisha kila jua linapokuchwa.
 
ngoja hako kanyumba kama choo kaungue utakuja kuomba msamaha. Kumbuka si kila anayefanya kazi kwa bidii anafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ