joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Sisi tunajaribu kuwastua ili wapunguze utegemezi kwa Tanzania ili kuwasaidia wakulima na wavuvi wa Kenya wanaolalamika kwa kukosa soko la bidhaa zao, wewe unataka waendelee kununua bidhaa zetu na kuzidisha kusambaratika kwa uchumi wao, kati yetu na wewe nani anayewasaidia kimawazo?Akili zenu Lumumba za hovyo kweli. Watanzania wazalendo tumefurahi kupata soko la uhakika kwa majirani zetu Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app