Hivi inakuaje hata samaki wa Ziwa Victoria Kenya bado inaitegemea Tanzania?

Akili zenu Lumumba za hovyo kweli. Watanzania wazalendo tumefurahi kupata soko la uhakika kwa majirani zetu Kenya.
Sisi tunajaribu kuwastua ili wapunguze utegemezi kwa Tanzania ili kuwasaidia wakulima na wavuvi wa Kenya wanaolalamika kwa kukosa soko la bidhaa zao, wewe unataka waendelee kununua bidhaa zetu na kuzidisha kusambaratika kwa uchumi wao, kati yetu na wewe nani anayewasaidia kimawazo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huelewi uchumi hapa ni kanuni ya comparative advantage ndio ya kuzingatia. Kila taifa lizalishe bidhaa au huduma ambazo inaweza kuzalisha kwa gharama nafuu na baada ya hapo kuzibadilisha na bidhaa na huduma kutoka nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…